Wadada wanapenda sana magari kuliko vitu vingine

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,174
39,936
Katika utafiti wangu mdogo nilioufanya, nimegundua wadada wanapenda sana magari kuliko vitu vingine. Ili niligundua baada ya kutembelea mji Y nikatafuta mdada wa kunipa kampani.

Baada ya ku-spend naye siku kazaa tukawa marafiki. Sasa nikamuuliza mdada mrembo, unaonaje ukipata mtoto kama kumbukumbu ya kukutana na eqn x; Jibu aliloniambia,'ninunulie kwanza usafiri haya mengine yatawezekana'. Nikakaa kimya kama sijasikia, ikabidi nibadili gia angani.

Totoz acheni kuitaji mambo makubwa!
 
Siku hizi naona kila mtu mtafiti! Mtu anatoka huko alikotoka na mawazo yake naye anakuja kusema “kutokana na utafiti mdogo nilioufanya”!

Sasa mtoa mada ulitaka umzalishe mwenzio bila assurance yoyote huyo mtoto utamsaidia kulea? Maana wewe unaonekana malaya mwandamizi!
 
Back
Top Bottom