Je, ni sahihi kumweleza ukweli mwenza wako pale unapomsaliti?

Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
12,536
2,000
Wakuu, leo nimeona nilete mada hii kwa mtindo wa swali ili kupata michango mbalimbali. Kwa tamaduni za kiafrika imekuwa desturi kwa mwanamume ama mwanamke kumficha ukweli mwenza wake pale inapotokea amegawa uroda nje ya ndoa.

Je, jambo hili linapaswa kuwa vipi kwa kutazama maadili ya kijamii na ya kidini pia? Ni sahihi, kwa mfano, kufanya toba kwa Mwenyezi Mungu huku ukikataa katakata kumwambia ukweli mwenza wako? Je, kuficha ukweli kuna maana gani linapokuja suala la mtu kujutia kosa hilo na dhamira kumshitaki?

Baadhi ya Michango

Wako wanaoamini katika kuficha ukweli. Hii ni dhambi itakayowaweka wengi motoni. Repentence is not real until you are ready to pay the price. Yaani ile inner conviction izidi hofu ya nje, uwee kusema kweli yote ndipo toba itakuwa sahihi mbele za Mungu.

Mungu hajawahi kuwa msiri wa wanadamu.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
==============

Hapo sasa kuna mawili uchague kupoteza kwa Mungu au kwa binadamu.

Kama mtu unahofu ya Mungu na dhamira inakusuta ni wazi kuna siku utajiropokesha tu maana itakutafuna ndani kwa ndani mpaka ukisema,ndo utaskia ka roho kametulia, ila ndo ujiandae kupoteza kwa mwenzako.
=============

Watu wengi hawawezi kusema hasa wabongo ila kwangu nipo tofauti sana, nina uwezo wa kumwambia ukweli na kujutia upande wake. Mama Zakaria sijui kama anaweza kuniambia ngoja nimuulize
============

Hivi nyie dhambi mnayoijua ni kuchepuka tuu? Mbona sijawahi kuwaona mkijipeleka polisi kwenda ku confess mnavyopokea rushwa maofisini, mnavyopiga madili, mnavyodhulumu watu, mnavyoibia wateja/waajiri, mpaka mmetajirika mmejenga majumba, magari makali nk?

Mtu mwenye akili timamu huwez kuconfess maana huyo mke hajakuuliza wala hajahisi chochote we unaenda ku confess ili iweje? Hata akikufuma red hendedi bado unatakiwa ubishe kwamba sio wewe na utafute wa kumsingizia hata shetani au nani sio una confess..!! Kama una roho ndogo ndugu stick to your wife usijiingize kwenye shughuli za michepuko.
===========

Kama unataka ndoa iote magurudumu nenda kaconfess kwa mkeo umecheat, ndio utajua madhara ya corona yapo vipi..

ukicheat nenda katubu piga kimya maisha yaendelee, unaenda kumwambia ujifunze nini?
 
Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
12,536
2,000
Truth will set you free but first it will piss you off
Wako wanaoamini katika kuficha ukweli. Hii ni dhambi itakayowaweka wengi motoni. Repentence is not real until you are ready to pay the price. Yaani ile inner conviction izidi hofu ya nje, uwee kusema kweli yote ndipo toba itakuwa sahihi mbele za Mungu.

Mungu hajawahi kuwa msiri wa wanadamu.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Athalia

Member
Oct 15, 2018
61
125
Kwa upande wa imani ikoje? Ni sawa kuficha jambo hilo huku unafanya toba?

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Hapo sasa kuna mawili uchague kupoteza kwa Mungu au kwa binadamu.
Kama mtu unahofu ya Mungu na dhamira inakusuta ni wazi kuna siku utajiropokesha tu maana itakutafuna ndani kwa ndani mpaka ukisema,ndo utaskia ka roho kametulia, ila ndo ujiandae kupoteza kwa mwenzako.
 
Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
12,536
2,000
Hapo sasa kuna mawili uchague kupoteza kwa Mungu au kwa binadamu.
Kama mtu unahofu ya Mungu na dhamira inakusuta ni wazi kuna siku utajiropokesha tu maana itakutafuna ndani kwa ndani mpaka ukisema,ndo utaskia ka roho kametulia, ila ndo ujiandae kupoteza kwa mwenzako.
Hapo ndipo palipo na tofauti kati ya ngozi nyeusi na nyeupe. Wazungu hawawezi kuishi bila ya kufanya confession, sisi waafrika hata ukigundulika utakataa tu. Lakini ni dhambi kubwa

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
22,323

Mkuu acha uhongorr...
 
iMind

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
2,156

Hao wazungu uliishi nao wapi? Linapo kuja swala la mahusiano we are all the same.
 
iMind

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
2,156
2,000
Sasa kama unahofu ya mungu unaanzaje kuchepuka? Na unaposema unajua mwenzako atalichukuliaje hilo swala? Kanuni yetu wachepukaji ni dont tell, dont show.
 
Jeceel

JF-Expert Member
Feb 6, 2018
1,078
2,000
watu wengi hawawezi kusema hasa wabongo ila kwangu nipo tofauti sana nina uwezo wa kumwambia ukweli nakujutia upande wake Mama zakaria sijui kama anaweza kuniambia ngoja nimuulize
 
TheChoji

JF-Expert Member
Apr 14, 2009
1,679
2,000
Hapo ndipo palipo na tofauti kati ya ngozi nyeusi na nyeupe. Wazungu hawawezi kuishi bila ya kufanya confession, sisi waafrika hata ukigundulika utakataa tu. Lakini ni dhambi kubwa

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Hivi nyie dhambi mnayoijua ni kuchepuka tuu..? Mbona sijawahi kuwaona mkijipeleka polisi kwenda ku confess mnavyopokea rushwa maofisini, mnavyopiga madili, mnavyodhulumu watu, mnavyoibia wateja/waajiri, mpaka mmetajirika mmejenga majumba, magari makali nk?

Mtu mwenye akili timamu huwez kuconfess maana huyo mke hajakuuliza wala hajahisi chochote we unaenda ku confess ili iweje? Hata akikufuma red hendedi bado unatakiwa ubishe kwamba sio wewe na utafute wa kumsingizia hata shetani au nani sio una confess..!! Kama una roho ndogo ndugu stick to your wife usijiingize kwenye shughuli za michepuko.
 
DiasporaUSA

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
22,833
2,000
Wako wanaoamini katika kuficha ukweli. Hii ni dhambi itakayowaweka wengi motoni. Repentence is not real until you are ready to pay the price. Yaani ile inner conviction izidi hofu ya nje, uwee kusema kweli yote ndipo toba itakuwa sahihi mbele za Mungu.

Mungu hajawahi kuwa msiri wa wanadamu.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Fair enough sir
 
godimpare

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
2,590
2,000
Kama kuficha unaweza na hakuna MTU wa tatu ajuawe basis ficha kwa akiki zako zote, kama kuna MTU wa tatu anajua basis we mwambie tu asije akajua kumwambia
 
Mr Devil

JF-Expert Member
Jul 7, 2019
2,465
2,000
Usha wai fika uko motoni uka uona uo moto
Wako wanaoamini katika kuficha ukweli. Hii ni dhambi itakayowaweka wengi motoni. Repentence is not real until you are ready to pay the price. Yaani ile inner conviction izidi hofu ya nje, uwee kusema kweli yote ndipo toba itakuwa sahihi mbele za Mungu.

Mungu hajawahi kuwa msiri wa wanadamu.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Time is a drug. Too much of it kills you
 
Top Bottom