Money Penny me bado sijaelewa, kwani Mahari na Tendo la Ndoa vinaingiliana vipi?!
Money Penny: kwanini?!
Mdau: huyu bwana amenilipia mahari milion 8, lakini tangu tufunge ndoa NI kama...
Tukiwa njiani tunatoka kazini na masela wangu, wakaanza kumtania mmoja WA masela wanamwuliza mbona umepoa Sana? Katika kumdadisi dadisi akafunguka kuwa alimpata demu mkali kwenye msiba, lakini...
Wadau kuna mdada nimemuelewa sana alikuwa just a friend tu, urafiki wetu haukuwa mkubwa sana zaidi akiwa na changamoto hasa anataka ushauri mi ndo nilikuwa mshauri mkuu na ananikubali sana kwa...
Kuna rafiki yangu mmoja nilikuwa namwambia, kwa assesment ambayo nimefanya inaonesha 90% ya mabinti wa kibongo wana changamoto nyingi za kiuchumi..
So ni bora ukamatie mmoja, umsovie mahitaji...
Kuoa wanawake wengi ni vizuri kwasababu kwa sasa idadi ya wanawake Tanzania na duniani ni kubwa kuliko ya wanaume....
Sasa unapo oa mwanamke mmoja wale wengine atawaoa nani
Oa ata watano...
Mke wa Petro anajivunia mume wake ni mtulivu sana hashindi baa na hatongozi videmu. Akitoka kazini tuu ndani. Siku moja mkewe akamhurumia. Anachoka na kazi. Mtu gani asiyependa starehe japo...
Ndugu wadau kumbe Sababu za mauaji ya tabata its pure Ufoo saro type of scandal, yaan Mama mzazi anakula dili na bintie kwa Asilimia 100%.
"Uhusiano wa Christina na Munisi
Rafiki wa Munisi...
Wasalaam wakuu,
Leo naomba nishee kisa changu kipindi nikiwa chuo,nilipoingia chuo mwaka wa kwanza nilienda kukaa hostel sasa maisha ya hostel sikuyafurahia,nilikaa semester moja pekee,wakati wa...
Ila kuna watu huwa wananikera kweli kabisa unakuta mtu anakuambia yani yeye hawezi kuoa mtanzania ni bora aoe Mnyarwanda au Mkenya....
Sasa ametudharau Tanzania kiasi gani kakosa Mtanzania wa...
Uchunguzi wangu nimebaini kati ya wanaume wanaoongoza kuwa na maumivu makali wanapochapiwa wake au wachumba zao ni wanaume wachepukaji.
Sasa unaumiaje wakati wewe mwenyewe hujatulia, alafu...
"Nilijishusha sana kwa Uchebe, nilitumia nguvu zangu kum-brand, nilimheshimu sana bila kujali kipato chake. Nimemkuta ana folloers 3 Instagram, ndugu zangu hawakutaka kabisa niolewe nae. Pesa ya...
Hivi Kuna ubaya wowote kumsaidia mke wako kuosha vyombo koridoni?
Nadhani hakuna shida ni ushamba wa wanaume wa afrika.
Bold but nothing!
Mimi naosha vyombo bila shida yoyote.
Long live mama f
Kwa kweli kuna swala linaumiza kichwa sana nimejaribu kuuliza baadhi ya watu,wanaume na wanawake na ningependa tujadili na hapa.
Kwa sasa watu wengi hawapendi kutumia condoms katika mapenzi je ni...
Guys nina mjadala kidogo tu nataka nieajue Wajumbe kama wajuba wa JF
Hivi kati ya.:
●iPhone [emoji336]na ●Samsung[emoji336]ipi inafaa kabisa itumike na wanawake (female)
Wajumbe bila shaka mko poa ! Leo tukumbushane kidogo boys boys siku yako ya kwanza kutongoza binti ile face to face ilikuwaje ?
buda binafsi nakumbuka siku ya kwanza kufanya shambulio la kutongoza...
Habarin wanaJamiiForums, hope mpo poa. Twende moja kwa moja on topic. Mimi ni mwanaume wa miaka 25 ninaishi Moshi Bar jijini Dar-ea-Salaam. Nimemaliza Chuo mwaka 2014, nimesoma IT, kwa sasa...
In a recent conversation with a friend of mine who suspects her boyfriend doesn't lover her anymore, I joked with her about giving him a love potion. What started out as an innocent joke on my...
Nimejaaliwa uzima namshukuru Mungu kwa hili, pia nataka kushea na viumbe wenzangu jambo kidogo Mungu humpa mtihani mja kulingana na imani yake kwa imani yangu.
Mwaka 2017 mwezi wa 11 nilibaatika...
Wanawake ni chombo muhimu sn kijamii na kiuchumi kwa mwanaume .Mwanaume asiye na msichana wa kusex nae hana tofaut na mgonjwa hawez kufanya kaz vzr ukilinganisha na yule ambae yupo ktk mahusiano...