Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wadau, Juzi jumatatu kuna mwanamke nilimpata kimasihara tu, nilimtongoza jumamosi jumatatu akaja home. Yaani tayari akawa mwanamke wangu. Sasa sijui anajishtukia kwamba nimempata...
5 Reactions
91 Replies
8K Views
Naamini hamjambo. Naomba tushauriane juu ya hili swala linalohusu familia zetu. Kama tujuavyo katika mahusiano migongano haikosekani. Mingine hata kuitatua Ni vigumu sana, hata hivyo kama...
3 Reactions
1 Replies
958 Views
JE, NILICHOKIFANYA NI SAHIHI? Nilichaguliwa kuwa ktk kamati ya harusi ya jamaa yangu mmoja hivi, katika kamati hiyo mimi nilikuwa muweka hazina , Kikao cha kwanza tulikaa na kupanga bajeti ya...
28 Reactions
75 Replies
10K Views
Natumai hamjambo wakuu. Wengi waliopenda kwa hisia za kweli toka moyoni na sio zile za matamanio nafsi zao hutengeneza umoja wa kiroho na yule mwenza. Umoja huu huashiria namna gani ulivyodeep...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hi guys Kuna huyu mwenye nyumba wangu karibu miezi 2 sasa amekua akinipa lift asubuhi wakati wa kwenda kazini, mimi ni mgeni eneo hili, ni miezi nadhan mitatu sasa tangu nihamie hapo, niseme tu...
51 Reactions
777 Replies
74K Views
Baadhi ya makabila yanayo tabia ya kuwaadhibu wanaume waliowapa mimba mabinti zao. Katika jamii hizo binti akipata ujauzito, aliyechangia ujauzito huo anapigwa faini ya milioni moja. Ikiwa kama...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nipo namsikiliza Mtu anasema kuwa wakati mnafanya Mapenzi, dyu dyu ukiingia kwenye sehemu za siri za mwanamke, na mambo yakakolea, wakati mwingine dyu dyu unazama inagoma kutoka kwahiyo ule...
4 Reactions
35 Replies
8K Views
Sijakuibia mkeo, nilimuokota jalalani mwa moyo wako. Unakumbuka kipindi kile ulipokuwa unashinda siku nzima bila hata kumjulia hali? OTEA? Nilikuwa namkumbuka kila saa kujua kama yupo sawa na...
7 Reactions
53 Replies
5K Views
Tangu nianze kuona wanasihi wa mambo ya uhusiano na ndoa kuongezeka,hali ya mahusiano ya kimapenzi na katika ndoa imekuwa tata sana.Je hii ni kwa nini? Msingi wa mafundisho yao mengi. 1. Ndoa ni...
0 Reactions
2 Replies
713 Views
Hope wote hamjambo. Kama swali linavyojieleza hapo juu. Je, ulishawahi kumwendea akuachie demu wako ambae unampenda au ambaye unampenda lakini hajamwambia ila unasubiria muujiza utokee ndio awe...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ila maisha haya love is complicated kwa kweli. Yaani ukiwa single kuna wakati upweke unakuchosha hadi unatamani bora ungekuwa na girlfriend for consoling you. Halafu ukiwa single kila...
8 Reactions
39 Replies
4K Views
Malezi ya mtoto huwa si kazi rahisi, ikiwa ni pamoja na kumuogesha, kumfulia, kumpa chakula na kuhakikisha afya nzuri na elimu bora ya mtoto. Hali hii ni ngumu zaidi kwa mzazi mmoja ambaye mzigo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katika vitabu vya dini mbali mbali na misemo ya mababu zetu inasema ya kwamba 1. Mwanaume bila mke hajakamilika 2. Wenye akili wote wameoa 3. Ndoa ni kipimo cha akili n.k Yapo mengi mno ambayo...
2 Reactions
38 Replies
5K Views
Umuhimu wa marafiki katika maisha ya mwanadamu ni mkubwa sana... Marafiki huwa watu wa Karibu na pengine urafiki hudumu na kuwa Kama familia moja... Utafiti unaonesha URAFIKI ukiweza kudumu kwa...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu, Wale wa mikoani, wake/ wapenzi wenu wanakuja kufata mzigo wa biashara hapa Dar. Mzigo wa kuchukua siku moja unakuta anatumia wiki nzima au wiki mbili. Ambacho ulikuwa haujui ni kwamba...
14 Reactions
129 Replies
17K Views
Habari za jumapili wanajukwaa, Kwanza nitangulize kuwasalimu mdugu wa jukwaa pendwa wana MMU, natumai Mu wazima wa afya mnaendelea vyema na kulijenga taifa letu la uchumi wa kati.. Twende kwenye...
8 Reactions
35 Replies
3K Views
Kitu pekee wanachotumia kufikiria ni maji kidogo waliyobaki nayo kichwani hakuna Ubongo kabisa? Jana kuna kiumbe nimemtumia 50K ya matumizi ya mtoto, Asubuhi hii ananipigia simu anasema hawana...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Hii kitu sijai-notice Mara moja ,nime-notice mara nyingi sana, utakuta unapiga story na baba mkubwa, anakwambia yule mke wa mdogo wangu anachosubiria ni pensheni tu ya mdogo wangu wa kiume. Au...
1 Reactions
6 Replies
905 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…