Nipeni ushauri wakuu, nifanyeje ili hili pepo lisinipate?

Wewe si umetoka kulalamika unanyimwa papuchi?
Ukashauriwa na jamaa mmoja upande miti mingi ya matunda .... 😂😂😂😂😂

Changamkia Fursa Hiyo budah


Usijefanya Kama Castr alivyoshauri Eti ujimbato 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom