Kuwa single kuna wakati inachosha kweli

Kuwa single kuna wakati inachosha kweli

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,865
Ila maisha haya love is complicated kwa kweli. Yaani ukiwa single kuna wakati upweke unakuchosha hadi unatamani bora ungekuwa na girlfriend for consoling you.

Halafu ukiwa single kila relationship unayoiona ni happy duel kweli. Yaani hadi unawish ungekuwa wewe.

Ndo chanzo cha "natafuta marafiki wa Ku chat nao" Japokuwa wanasema mapenzi yanaumiza Ila kuwa single napo stress tu.

Alafu kwanza wastaarabu ndo wanachelewa kupata wapenzi Ila wale wazee wa kazi ndo wanaibukaga kidedea kama ma starring wa movie vile.

I wish if I loved someone that loves me it would be a good luck.
 
Ni kweli ila tukiangalia upande mwingine wa shilingi mapenzi ya sasa ukiyatazama kwa jicho la tatu wengi hawana nayo furaha mwenyewe nipo single ila kuna mtu anaweza kunifuata akaniambia heri yako asee upo single... Just imagine.kuna mtu yupo kwenye mahusiano anatamani bora angekuwa single na ambaye yupo single anatamani kuwa kwenye mahusiano....ila ndio hivyo kinachomfanya mtu kuwa single mara nyingi ni maisha aliyopitia.. na pia mapenzi ya sasa ni ya upande mmoja tu unakuta unampenda lady ila lady hayupo serious... Yaani mguu nje mguu ndani...hapo utatamani tu kuwa single
 
Hata kabla haujasema nilishajua upweke unakusumbua. Sio kwa mafuriko ya hizi nyuzi.
Aah upweke tena amna mi Niko cool kufungua threads sio upweke bali over charge[emoji23][emoji23]
 
Weka lengo, tafuta mtu sahihi oa. Mambo ya upweke mara kupata mpenzi kujitafutia stress za lazima. . . Utalala mbaka na wanga kisa upweke.
Shukuru Mungu uhai unao, mapenzi Yana watu wake🤣🤣🤣 wamezaliwa nayo.
 
Mzee ukitaka ustaarabu kwenye mapenzi imekula kwako.....jishetue akili anza kutongoza hovyo hovyo usiogope sijui heshima itashuka sijui nini nini hiyo heshima unamuwekea nani na kwa faida gani......wakisema wewe malaya fresh tu maana kuna watu wanaendesha maisha kwa kufanya vituko na maisha yanaenda japo wanadharaulika. ......piga saundi hadi atakapo patikana wa ukweli....kama ww domo zege omba ushauri
 
[emoji23]kupenda raha
[emoji23]kupendwa raha
[emoji23]kupendana raha
 
Inawezekana una idle time sana, Ukiwa busy hutaona mahusiano ya wengine. Jaribu kuwa busy ndani ya huo ubusy miss right atapatikana.

NB: usije ukaanza kusikiliza nyimbo za mapenzi na kuanza kuvuta hisia.
 
[emoji23][emoji23]dah.!nasikilizaga yope hisia za mapenzi no
 
[emoji23][emoji23]dah.!nasikilizaga yope
Hapo sawa. Ila kuwa busy mkuu. Kama upo idle tafuta appointment na wafanyabiashara, wakulima au wamiliki wa viwanda kulingana na interest zako, na sababu ya appointment ni kujaribu kufahamu mambo mapya au unaandaa report maalum n.k vaa vizuri, kama una njaa usionyeshe una njaa n.k

Again kimbia sana kuwa idle.
 
Nakazia hii reply 👏
 
Kuwa single ndio sehemu pekee ya kuamua kwenda mbele au kurudi nyuma maamuzi yako juu yako
 
Back
Top Bottom