Kuna mademu wengine ni Changamoto

Kitu pekee wanachotumia kufikiria ni maji kidogo waliyobaki nayo kichwani hakuna Ubongo kabisa?

Jana kuna kiumbe nimemtumia 50K ya matumizi ya mtoto,
Asubuhi hii ananipigia simu anasema hawana hela ya kula,

Nimekata simu sijamjibu chochote.
It seems tatizo linaanzia kwako.
Hiv ww unadate ma slay queen kama hao ..? Unategemea nn?
 
Kitu pekee wanachotumia kufikiria ni maji kidogo waliyobaki nayo kichwani hakuna Ubongo kabisa?

Jana kuna kiumbe nimemtumia 50K ya matumizi ya mtoto,
Asubuhi hii ananipigia simu anasema hawana hela ya kula,

Nimekata simu sijamjibu chochote.
😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom