Tahadhali kama mkeo kafata mzigo wa biashara Dar

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Sep 30, 2015
1,456
2,000
Wakuu,

Wale wa mikoani, wake/ wapenzi wenu wanakuja kufata mzigo wa biashara hapa Dar. Mzigo wa kuchukua siku moja unakuta anatumia wiki nzima au wiki mbili.

Ambacho ulikuwa haujui ni kwamba mwenzako anajiuza hapa Dar.

Kuweni makini, sio hapa tu. Hata wale wanaosema wanafata mizigo China na Dubai huwa wanafanya hivyo pia. Unakuta mwezi mzima mtu anasema anakusanya mzigo, kumbe anajiuza weeee akichoka anarudi.
 

katoto kazuri

JF-Expert Member
Feb 10, 2018
5,714
2,000
Wewe hujaisikia ile ishu ya mwanamke wa arusha alikuwa mama wawatoto watatu jamani.

Huyo mama japo alikuwa umri umeenda na watoto wakubwa huyo dada alikuwa anatishia dar nzima kwa uzuri wake ila chakusikitisha huyo mama mwaka jana kabla ya chrismass aliamua kupiga round za mwisho za kula raha zake dar aache hiyo tabia ulijua kilichomtokea walimwekea sumu.

Wakamuacha chumbani kesho yake wahudumu kufika kizuri waliomwekea sumu walimuacha na simu yake ndio wakaona wapige kwa wahusika na ndio ndugu na jamaa wakaja kuchukua mwili wao nadhani walipiga na polisi .

So niukweli hujui hilo lipo na litaendelea kuwepo.

Kwa maana hali za nyumbani haziridhishi endapo utazubaa tu.

Mama ndio kila kitu .

So akijibweteka ndio maisha ya familia yanenda kombo kuzaa sio sifa sifa nikulea vizuri.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom