Si kanifanyia fujo! Sasa naenda kumpa mumewe mambo

Si kanifanyia fujo! Sasa naenda kumpa mumewe mambo

Joined
Dec 5, 2015
Posts
57
Reaction score
143
Hi guys

Kuna huyu mwenye nyumba wangu karibu miezi 2 sasa amekua akinipa lift asubuhi wakati wa kwenda kazini, mimi ni mgeni eneo hili, ni miezi nadhan mitatu sasa tangu nihamie hapo, niseme tu ukweli kuwa, nimekuja kupanga hapo baada ya kutengana na Mr wangu kwa Muda wakati mgogoro unasuluhishwa na wazee

Mimi ndie mpangaji pekee kwenye hiyo nyumba, tunaishi pamoja na mwenye nyumba na mkewe kwenye compound moja, wote wawili wana gari, awali, kwa heshima na maadili nilikua nasubiria lift ya mama lakini cha ajabu, anaingia kwenye gari na kuondoka kama hajaniona vile, ndipo baba akitoka ananipa lift

Sasa, baba mwenye nyumba amekua akanipa lift kila siku asubuhi maana tunatoka Muda unaofanana, kumbe Kuna ugomvi mkubwa unaendelea ndani ya familia hiyo sababu ya mimi kupewa lift kila siku, mama ana wasi wasi kuwa Kuna kitu kinaendelea kati yetu

Hata hivyo baada kuzoeana huyu bwana ameshaniomba niwe rafiki yake na amenipa pesa mara nyingi tu na ahadi ya kusamehewa kodi

Hivi karibuni, wakati naingia kwenye gari yule mwanamke alikuja kufanya vurugu na kutaka kunishusha kwa nguvu, fortunately, mumewe alimtoa kwa nguvu na sisi kuondoka, jioni nikakuta ameita watu wa welding akakata kufuli na kuweka lingine, nikakuta barua na kodi yangu kwenye bahasha kuwa niondoke jioni hiyo hiyo, nikamuita mjumbe akasema sheria hiyo haipo, ni lazima kodi iishe na notice itolewe, yule mama akagoma kufungua, tukampigia baba simu akaja akalikata nikaingia ndani

Sasa kwa udhalilishaji alionifanyia naenda kumkubali mumewe na kumpa immediately, sikua na Mpango huo licha ya kuchukua pesa zake sababu tayari nina matatizo yangu ya kutosha kuhusu ndoa na mapenzi, tumetengana na Mr Kutokana na migongano isiyoisha na pia nipo na boss wangu , hivyo sikutaka kabisa kujihusisha kimapenzi na baba mwenye nyumba, ila sasa naenda kumpa

Nonsense
 
Pole sana Kivuruge. Ila nikwambie tu unaweza ona unamkomoa huyo mama kumbe unajikomoa. Kwa hayo uliyoyaandika kuhusu hiyo familia wewe ndio unaonekana hujielewi na ndio sababu unataka vuruga ndoa za watu. lol

Ila nikwambie tu muda unaoutumia kuvuruga ndoa za watu ungeutumia kutafakari namna ya kumaliza mgogoro na mumeo.
 
Shikamoo dada. Unampa mambo boss wako na mwenye nyumba? Kama mama mwenye nyumba hapendi kwanini usingejitenga nao tu na lift zao? Hasira za mkizi furaha ya mvuvi. Mwache baba mwenye nuumva afurahi kwa hasira zako kwa mkewe
 
Utakuwa na pepo la ngono si bure

Kwa haraka haraka kama tayr ushampa uchi vile ila unataka kutusumbua hapa...

Pole sana Kivuruge. Ila nikwambie tu unaweza ona unamkomoa kumbe unajikomoa.Kwa hayo uliyoyaandika kuhusu hiyo familia wewe ndio unaonekana kidampa na ndio sababu unataka vuruga ndoa za watu. lol

Ila nikwambie tu muda unaoutumia kuvuruga ndoa za watu ungeutumia kutafakari namna ya kumaliza mgogoro na mumeo.
Nawaunga mkono tafadhali
 
Back
Top Bottom