Ukweli kuhusu introverts

Ukweli kuhusu introverts

Jiwe ni extrovert kundi la chorelic..
Angalia sifa zake japo si zote utajua kinyume chake ambao ni introvert
 
Kama we ni ke nifuate pm nikuelekeze introvert ni nini..[emoji6]
Kama ni me kapambane na hali yako..[emoji12]
Mkuu unataka akufuate PM ili umuelezee mubashara zaidi[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mkuu unataka akufuate PM ili umuelezee mubashara zaidi[emoji16][emoji16][emoji16]
Kama yeyote anaejua kuwa yeye ni jinsia ke na anifate pm nimuelekeze introvert ni unini..
 
Kuna uzi nimeona unaongelea tatizo la Autism(usonji), mbona kama baadhi ya tabia za hawa watu zimefanana na za introverts! Kipi ni kipi?
 
Mimi kama introvert yaani!
87654321.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom