Hizi ndio Tabia za Mwanamke anaekupenda

Hizi ndio Tabia za Mwanamke anaekupenda

bloggerboy

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2017
Posts
568
Reaction score
1,221
Sio kazi ngumu sana kuelewa mwanamke anaekupenda kiukweli. Mwanamke anaekupenda kweli hawezi kukuomba wewe kitu chochote bali atachohitaji kutoka kwako sana sana ni muda wako na 'attention' yako kwake.
Hayo mengine kuhusu pesa, outing, shopping na mengineyo unatakiwa kujiongeza wewe kama mwanaume na sio kubweteka na kupendwa, kwa sababu mwanamke wako anahitaji matunzo vilevile.
Anachohitaji mwanamke ni wewe tu na muda wako. Wanawake wameumbwa na moyo 'strong' lakini katika suala la mapenzi na hisia wako 'sensitive' sana. Wanahitaji kupendwa na wanahitaji kuona akijaliwa.
Mwanamke akikupenda kweli kutoka moyoni mwake atahitaji awe na wewe muda mwingi, atakutext mara kwa mara, atakupigia simu every time when she feels she wants to talk to you.
Atakuwa kama mtoto mdogo anayehitaji kupendwa, kukumbatiwa, kubebwa na kutizamwa kwa umakini.
Mpende sana mwanamke wa aina hiyo, muda mwingine aweza kuwa anakufuatilia sana mpaka unajiuliza nina 'date' na shushushu ama nini? Ila unapaswa kutambua kuwa anakupenda kwa dhati na anataka ajihakikishie kuwa yupo peke yake kwako.
Ukipata mwanamke wa aina hiyo tulia, usimuumize wachana na mitambo mingine, utazunguka bucha zote lakini nyama ni ile ile sana sana utamaliza nauli yako na nguvu zako za kuzunguka kila bucha.
KAMA UMEIPENDA HII
 
Wenye bahati zao wanawapata ila wengi huaribu wenyewe,kuna baadhi ya Wanaume ukimpenda humuombi kitu na alikotoka amesha zowea kuombwa anakwambia wewe unajeuri sanaa hata kuniomba japo chochote?au ukienda mfano kula chakula unalipa wewe
yeye anaona unamfanya ajisikie sio mwanamme sasa hivi vitu mda mwengine vinashangaza.
 
Wadada wa dar huwa wanakujaga kwa style hii. Wakishaona umezama wanaanza kukuchuna vilivyo.

Anyway si wote wako hivyo.
 
Mnapiganiwa kupendwa kapendweni mimi nijuavyo wanawake wanajua kupenda ila vidume siye ni kutamani tu, kila la kheri wapendwaji.
 
Ndio yanakusibu hayo mkuu? utakavyoangukia kichwa uje utupe mrejesho
 
Sio kazi ngumu sana kuelewa mwanamke anaekupenda kiukweli. Mwanamke anaekupenda kweli hawezi kukuomba wewe kitu chochote bali atachohitaji kutoka kwako sana sana ni muda wako na 'attention' yako kwake.
Hayo mengine kuhusu pesa, outing, shopping na mengineyo unatakiwa kujiongeza wewe kama mwanaume na sio kubweteka na kupendwa, kwa sababu mwanamke wako anahitaji matunzo vilevile.
Anachohitaji mwanamke ni wewe tu na muda wako. Wanawake wameumbwa na moyo 'strong' lakini katika suala la mapenzi na hisia wako 'sensitive' sana. Wanahitaji kupendwa na wanahitaji kuona akijaliwa.
Mwanamke akikupenda kweli kutoka moyoni mwake atahitaji awe na wewe muda mwingi, atakutext mara kwa mara, atakupigia simu every time when she feels she wants to talk to you.
Atakuwa kama mtoto mdogo anayehitaji kupendwa, kukumbatiwa, kubebwa na kutizamwa kwa umakini.
Mpende sana mwanamke wa aina hiyo, muda mwingine aweza kuwa anakufuatilia sana mpaka unajiuliza nina 'date' na shushushu ama nini? Ila unapaswa kutambua kuwa anakupenda kwa dhati na anataka ajihakikishie kuwa yupo peke yake kwako.
Ukipata mwanamke wa aina hiyo tulia, usimuumize wachana na mitambo mingine, utazunguka bucha zote lakini nyama ni ile ile sana sana utamaliza nauli yako na nguvu zako za kuzunguka kila bucha.
KAMA UMEIPENDA HII

Hapo kwenye red oteeee mnama...endelea kujidanganya kama ladha ni moja
 
[QUOTE="bloggerboy, post: 27551948, member: 463755"]utazunguka bucha zote lakini nyama ni ile ile[/QUOTE]
wewe endelea kuamini maneno ya wahenga...dunia imebadilika...nyama siku hizi zipo za aina nyingi
 
Waambie,ila Wanaume wa siku hizi atakupa attention siku 2 tatu ukijisumu kutoa punyero hata msg hazijibiwi tena.

Sasa ukibana kutoa papuchi, mwanaume ataona kama vile humpendi, unampotezea muda, perhaps unataka kum-exploit / kum-manipulate...so anaona bora asepe fasta. amu
 
Back
Top Bottom