Msaada: Aliolewa na Mwanaume mwingine na sasa ananisumbua turudiane akidai alishinikizwa. Nifanye nini?

Aisee! Kuna wakati mwingine huwa vigumu sana kupatiwa msaada kutokana tu na uwasilishaji wa tatizo lenyewe hasa mwandiko.
 
Hakuwah kukusaliti? How..au kusaliti maana yake ni nn? By the way, ukihitaj msaada jidadavue vzur acha kutuwekea gaps, ukiweka gaps mm natoa ushaur vp kwa nan.....Vinginevyo go on wth ur studies mambo mengine utaharibu future yako mapema buree......
 
😄😄😄🤸🤸🤸🤸🤸🤸! Pindua pindua units!...ila had amekutafuta amekukumbuka...Kuna watu kuwasahau ni ngumu jamani!
 
Kule Jecha Kashindwa Kutaja Mwaka Kwa Usahihi


Simama Eneo Lako Vema Huyo Alishaolewa Acha Aende
Salaam Haitii Mimba, Endelea Kusalimiana Naye
Acha Aumie Kwanza
Siku Nyingine Atajifunza
 
Huyo atakutafutia matatizo. Na kubwa kuku destruct ili usi concentrate na masomo. Just ignore her.

Simple.
 
Back
Top Bottom