matunguri
Member
- Dec 28, 2019
- 45
- 143
Mnamo July 30 mwaka huu nilikutana na binti fulani mwanachuo, hatukutumia kinga usiku lakini asubuhi wakati anataka kuondoka nikaomba tupime afya, nae bila hiyana akakubali, bioline ikajibu positive na unigold pia ikasoma binti ni mwathirika, kahamaki haamini, ikabidi twende kwenye kituo cha afya cha karibu, majibu ni yale yale. Ikabidi mimi nitumie PEP kwa mwezi mmoja na binti mpaka leo amegoma kuanza ARV.