scientificall
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 460
- 360
Kuna bro wangu toka kwa baba mwingine sasa kuna manzi alijipendekezaga bro akamtokea demu akatiki kwa asilimia zote sasa braza amaekuwa akila tunda mara kwa mara ila tukiwa wote anasema huyu manzi mm ntakuja nimuache.
Sasa brother kasafiri ana kama mwezi hivi huko mikoani leo binti amenitext analalamika mara hamuelewi brother ndo kamuacha hvyo ana mawazo chungu nzima na anasiku nyingi hajakutana nae ampe hata haki yake leo ana muachaje juu kwa juu. Kalalamika anataka aje tukutane angalau nimuliwaze kidogo maana haamini na hakuwa amejiandaa kuachwa wala hakutegemea.
Nimejaribu kumchomolea lakini wapi nkaamua nimnyokee bro coz najua yaezekana ni kweli.
Brother amenbia kweli ameamua kumtema maana huko kapata kifaa anataka akioe kabisa huyu alikuwa anakula kuondoa hamu tu.
Na huyu demu navyojua alivyo na stress nkimuingizia ishu za kumgegeda tu lazima atoe mzigo. Ila ninachohofia je ataniganda mimi ndo nianze toka nae? Nimeamua kumwambia ntamcheki tuongee zaidi maana nipo bize na kazi.
Mwisho ushauri wenu