Nataka mke mwaminifu

mgendege

JF-Expert Member
Jul 18, 2020
299
350
Nataka mke miaka 25-30 asitoke Dar awe anatoka mikoani. Elimu kuanzia Darasa la Saba mpaka Form Four, awe anatoka familia ya kipato cha chini, awe mtafutaji na mwenye mawazo positive ya maisha hata kama ana mtoto mmoja sio zaidi, awe mkristu au awe tayari kubadilisha dini, asiwe mwembamba mnene kiasi, awe na hofu ya Mungu asiwe mlevi au kuji chu kwa iyo

Kama una mdogo wako yupo nyumbani au Dada ako naomba msaada kumfikishia kusudi langu najua wadada Elimu ya chini wanakuaga na simu za kitochi sorry asiwe ame ajiliwa Serikarini mimi nina miaka 33 Elimu form four nime jiajiri.

Angalizo wadada munao tafuta waume wenye degree kama ninyi mtasubiri sana mausiono nimaelewano kwanza saizi wanaume ambao hawana degree ndio watafutaji sana asilimia kubwa
 
Kwa sifa hizo labda umuumbe mwenyewe, au kama unaweza tuma special order kwa muumbaji! Tumbafu kabisa
 
Wewe jamaa unaonekana una majungu sana! Yaani umekimbia mwenyewe umande, halafu unakuja kutupiga vijembe sisi wenye digrii zetu eti siyo watafutaji!

Kwa hiyo fedha tunazotumia kuendeshea familia zetu, na mahela tunayotumia usawa huu mgumu wa magufuli kuwapata watoto wazuri unatugawia wewe? Ni vyema kila mtu akala kwa urefu wa kamba yake.
 
Ungekuwa umeishia MEMKWA ningekuja mkuu lakini fomu foo utanisumbua sana😎
 
Wewe mwenyewe umetaka wa la saba hadi form four,asa sijui umepata wapi ujasiri wa kuwafokea wenye uhitaji wa degree aseee
shangaa hebu na wewe, wenye form four hawawataki sasa anataka waende wapi?
 
Haya maombi yako ni ya aina yake, umeomba mke, umeshauri na hapo hapo ukapiga majungu.
Hukupaswa ufanye hvyo kwenye jambo lako muhimu kama hili umeonesha hadi sababu inayokufanya ukose wa kumuoa hadi sasa.
 
Huyu jamaa si bure anafurahia degree holders wakiwa jobless.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom