Hivi huu ni wivu wa mapenzi tu au ni nini?

Gentle001

Member
Sep 14, 2020
17
15
Habari zenu Wana JF

Moja kwa moja ngoja niende kwenye mada. Mshkaji wangu kuna demu mmoja alikuwa anampenda ila anaogopa kumwambia hvyo ilibidi nimsaidie kumtongozea na akampata kweli yule binti.

Shida inakuja kuwa moja mimi ndiye naonekana kuwa chanzo cha ugomvi wao kwani huyo demu hapendi kumwona kabsa mshkaji wangu akiwa na ukarbu na mimi. Demu anadai kuwa mshkaj wangu anatumia muda mwingi kuwa na mm kuliko yeye which is true hivyo anaona ni Bora wakaachana tu kama hatobadilika.

So wana JF naomba mnieleze hii ni nini maana sielewi coz mm na mshkaj wangu ni marafki toka utotoni pia kazi ya kutuingizia kipato wote tunafanya kazi moja na kuhusu mahusiano ya mshkaji wangu na demu wake naona yako poa sn but huwa sifurahii sn kuona kila Mara wakiwa wanagombana mm ndiye nakuwa sababu na sababu yenyewe ndio hyo tu kuwa eti mshkaji anatumia muda mwingi kuwa na mm kuliko huyo bibie. Sielewi hapa labda km Kuna ajenda nyingine.

Wana JF naombeni maoni yenu tafadhari.
 
Sasa huyo demu nae falaa tuuu...!! Boyfriend anataka wagandane siku nzima kwani ni mume wakee??? Alafu wewe mwanaume mwenzie mna mishe nyingi angekuwa demu je?? Demu hajielewiii..
 
Sasa huyo demu nae falaa tuuu...!! Boyfriend anataka wagandane siku nzima kwani ni mume wakee??? Alafu wewe mwanaume mwenzie mna mishe nyingi angekuwa demu je?? Demu hajielewiii..
Hta mm ndio nilimwambia mshkaj ss km demu wake anamind hvyo alafu mm Ni mwanaume mwenzake ungekuwa vp km ningekuwa demu so ndio ungekuwa Vita kabsa
 
Huyo binti ana umri gani? Ana shughuli ya kufanya? Tuanzie hapa kwanza
Umri nadhan kwenye 24 au 25 ndio amemaliza chuo mwaka huu na mshkaj wangu navyomuona km anampango nae kabsa wa ndoa maana maisha tayar anayo kiasi
 
Na wewe tafuta mpenzi acha kuzengea zengea wenzako wakiwa wamechill.
 
Believe me, demu anahofia utamtongozea mshkaji wako kwingine maana wewe ndio chanzo cha wao kukubaliana. Anajua mkiwa wenyewe labds mnaset mipango
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Sasa kama mshakji wanafanya michongo pamoja je?...
Michongo haiishi? Huoni anasema demu analalamika muda wote hawa watu wapo pamoja? Means hata muda wa michongo ukikata jamaa bado anamganda mwenzake badala amuache aende kwa demu wake.
 
Michongo haiishi? Huoni anasema demu analalamika muda wote hawa watu wapo pamoja? Means hata muda wa michongo ukikata jamaa bado anamganda mwenzake badala amuache aende kwa demu wake.
Aende kwa demu wake kwani ni mke????
 
Believe me, demu anahofia utamtongozea mshkaji wako kwingine maana wewe ndio chanzo cha wao kukubaliana. Anajua mkiwa wenyewe labds mnaset mipango
Hii sababu ina mashiko, sio sijui kakuchoka na bla bla!
 
Back
Top Bottom