Jamani mapenzi yamenishinda

functional

JF-Expert Member
Sep 13, 2018
732
772
Habari zenu wapendwa,

Naombeni ushauri wenu maana kila nikipata mwanamke ananiacha, nashindwa kuelewa tatizo ni nni. Mpaka sasa ni wanawake zaidi ya 30 wote wamenikimbia ila pesa ninayo nyingi tu, pia nina gari 3 moja ya biashara na mbili za kutembelea. Ila sielewi kwanini wanakimbia, ushauri wenu tafadhali.

Asanteni.
 
Fanya maombi mazito mkuu,Ungekuwa Mkatoliki ningekushauri ufanye novena ya kufa mtu,mambo yangekaa sawa.
 
Kwa jinsi ulivyo kwenye avatar yako hyo huna jeur ya hata baiki ..na hata demu huna wew

Heb anzisha uzi mwingne
This is Kind of Defamation Mkuu.

Jamaa kaamua kufake Life kidogo..Umemuumbua

Mtoa Mada Tafuta pesa..Ukipata hivyo vitu ulivyo Mentiob hapo Mambo yataenda sawa.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom