Silaha ya mwanamke ni ipi?

Kivp fafanua
Mungu ametupa jukumu la kuomba
Maombi ndiyo kinga yetu kubwa.
Angalia Mfano wa Mama Maria,mama wa Yesu anavyotumika kumuomba Yesu azidishe Divai

Mungu ameweka nguvu kubwa ya ushawishi ndani yetu,.
•Angalia mfano wa Eva pale Bustani ya Edeni
•Ester jinsi alivyosimama kidete kuwatetea Wayahudi dhidi ya waraka uliowataka wauawe
•Delilah pia alivyomshawishi Samson
 
Du sawa
 
.....silaha ya mwanamke ni papuchi,
mwanamke hana cha kuoffer zaidi ya papuchi
Hata ushauri hawezi hata kukupikia chakula...akakuhudumia ukiwa MGONJWA... akakutia moyo na kukuonea huruma..

Mwanamke Ni zaidi ya papuchi...Ila wanaume wengi KWAKUWA wanawaza ngono KILA muda..huwa na mawazo yako.
 
.....silaha ya mwanamke ni papuchi,
mwanamke hana cha kuoffer zaidi ya papuchi
Kama.ulilelewa na Mama yako...hakuna alicho offer...ulikua unafaidika Nini na papuchi ya Mama ako?... Alikujali, alikuhudumia,alikufulia,alikubembeleza alikube mgogoni,.. akakupikia akakulisha, akakuogesha ..akakufundisha Mengi...wengine waliwasomesha kwa jasho na Damu...

Leo hii KWAKUa TU una mboo inasimama unachoona kwa mwanamke Ni papuchi TU.

Akili za KUWAZA ngono...haya ndo matokeo Yake. Upumbafu umekujaa
 
Calm down he's just maintaining his freedom of speech
 
Back
Top Bottom