How long can you stay without sex?...mda gani Unaweza kukaa bila kufanya mapenzi?

BIGURUBE

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
6,743
4,227
Kila mmoja wetu bila kujali jinsia Ana ukomo wa mda wa kukaa bila kufanya mapenzi, wengine hawawezi kukaa week bila sex, wengine mwezi, wengine miezi kadhaa nk.

Tupeane uzoefu hapa Wadau...

Mm binafsi maximum naweza kukaa miezi 6 Baada ya Hapo naweza kuwa hata kichaa au naweza kuwa msahaulifu balaa

Je Kuna athari zozote kiafya kukaa mda mrefu bila sex?
 
Kila mmoja wetu bila kujali jinsia Ana ukomo wa mda wa kukaa bila kufanya mapenzi, wengine hawawezi kukaa week bila sex, wengine mwezi, wengine miezi kadhaa nk.

Tupeane uzoefu hapa Wadau...

Mm binafsi maximum naweza kukaa miezi 6 Baada ya Hapo naweza kuwa hata kichaa au naweza kuwa msahaulifu balaa
sasa siukomae tu miezi 6 mingine umalize mwaka..hahaa
 
Kila mmoja wetu bila kujali jinsia Ana ukomo wa mda wa kukaa bila kufanya mapenzi, wengine hawawezi kukaa week bila sex, wengine mwezi, wengine miezi kadhaa nk.

Tupeane uzoefu hapa Wadau...

Mm binafsi maximum naweza kukaa miezi 6 Baada ya Hapo naweza kuwa hata kichaa au naweza kuwa msahaulifu balaa
Dakika 10
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom