Wanawake mlioenda kwa waganga kisa mpate waume uzi wenu huu hapa. Nasi mtuhabarishe mnachokieleza kule

Mrisho com

JF-Expert Member
May 2, 2015
3,894
3,919
Baada ya kuona kimya hata siku angalau wanawake kuanzisha uzi unaohusiana na jambo linalowapeleka kwa waganga wa kienyeji ili kupata wanaume (ndoa) na kutuhabarisha kinachofanyika huko.

Tunataka mtuonyeshe/mtuhabarishe mambo mnayokutana nayo kule kwa hao wataalamu na pia tunataka kujua mnatumia vigezo gani ili kumuelezea mtaalam mtu unae mtaka.

WANAWAKE UZI WENU HUU HAPA MJE HUKU

"simu yangu touch inasumbua sana ndio maana nimeshinda kuandika kwa kirefu zaidi, KARIBUNI"
 
Na sio Kupata waume tu.
Hata wanaoenda kwa waganga kumtuliza Mwanaume + Libwata + na madiko diko mengine,
Wachangie tu watupe maujanja, usikute hata mm ni nguvu za kiganga ndio zinanishikilia kwa Mama D

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
😅😅kakutuliza
 
Back
Top Bottom