Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Salam wakuu, Naenda moja kwa moja kwenye mada. Date ya kwanza tulipata chakula cha jioni halaf tukawa tunatembea huku tunapiga stori. Tukapita karibu na supermarket akaomba kuna kitu nimnunulie...
60 Reactions
253 Replies
26K Views
Salaam. 1.Umekutana na mdada fulani tu moyo wako umemdondokea, kaa jinsi alivyo na muonekano wa kipole, jinsi alivyo mnyenyekevu, anavyokuheshimu nk. 2.Ukipiga hukuti simu yake iko busy, message...
8 Reactions
29 Replies
3K Views
JF mpooooooooo! Karibuni katika *Siku ya Ngekewa*. Siku ya Ngekewa ni siku ambayo huwezi kuisahau katika maisha yako. Siku ambayo ilikuwa ya neema kwako. The day of beating the odds! Bila...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari wakuu... Kisa changu ni huyo dada mmoja ambaye katika pitapita zangu za kusaka ni nani atakuwa mama wa watoto wangu, nikaona ndiye anafaa. Ni msichana mrembo kwa sura, rangi ya mtume na...
10 Reactions
88 Replies
8K Views
Habari wanajukwaa mm ni mwanaume mika 29. Nimemfumania LIVE akinyanduliwa mpenzi wangu ambaye nimezaa naye mtoto mmoja na tumedumu naye kwa miaka minne sasa, lakini yote kwa yote tulipanga mwezi...
12 Reactions
170 Replies
22K Views
Kuna tabia inanikera sana mtoto akikosea yeye anamuadhibu ila mimi nikimuadhibu inakua tatizo kubwa sana hata kununa siku nzima, wajuzi wa mambo hii hali ni kawaida au?
5 Reactions
76 Replies
7K Views
Huwa ninajiuliza ni kwanini akikuacha huwa anapenda kukuona ukiteseka juu yake au unapoteza mwelekeo wa maisha lakini inapotokea aliyekuacha umekubaliana na matokeo unaendelea na shughuli zako...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habaran wana jamii forum hope wote mna weekend njema nadhan wengi sn mlisoma ule uzi wangu siku nilipotwangana makonde na demu sasa nimeona itakuwa sio km ntaachia stor kat maana kila mmoja...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Recently many people in the world have been inspired to name their children after famous (some not so famous) places. Would you consider naming your children after a country, city, town, district...
4 Reactions
511 Replies
23K Views
Hapa nawaongelea hawa vijana wenye majina ya kiume kama John, Rashid nk. Kumekuwa na kundi kubwa la vijana tena linaongezeka siku hadi siku ambalo halitaki kuoa.Ukiwauliza watakuambia bado...
14 Reactions
200 Replies
13K Views
Kuna rafiki yangu yeye sasa hivi anajuta sana na hana furaha na ndoa yake. Chanzo alioa sababu alikuwa na pesa. Nukuu usioe sababu una pesa, oa sababu umejipanga na kuridhia. Wapo wengi walioa...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Mimi katika huu Uzi leo nitakuwa ni Mtazamaji tu zaidi kwani naivizia moja ya sababu Kuu, Nyeti na ya Ndani kabisa niliyopewa mahala ili niione.
6 Reactions
180 Replies
19K Views
Kumekua na ongezeko kubwa la wazazi kukupeleka watoto wadogo kuanzia chekechea. Kweli wazazi tumekua na majukumu mengi huku usaidizi katika malezi ukiwa changamoto kubwa sana. Lakini kwa...
11 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari wanaJF, niende moja kwa moja kwenye mada. Tangu nimejitambua mpaka sasa miaka naikimbiza 30+ sijawahi penda pisi kali kabisa na kuna wanawake kadhaa ambao walinipenda na niliishia kuchapa...
5 Reactions
52 Replies
6K Views
Yawezekana unazo sababu nzuri tu za kukufanya utake kudhoofisha mahusiano ya mwanao na mzazi mwenzio. Labda alimkataa mtoto (ujauzito), ama hatoi matunzo (pesa na mengineyo) kwa mtoto. Ingawa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana JF Last week imekuja na familia ukweni huku Ifakara. Wakwe zangu yaani baba na mama mkwe walitengana. Baba yupo hapa mjini mama yuko nje kidogo ya mji. Baba kaoa mke mwingine na mama...
19 Reactions
130 Replies
14K Views
Nikiwa kama mhanga wa mwanamke alieachiwa matunzo ya mtoto bila msaada wa baba naumia sana. Hivi wanaume huwa mnawaza nini mnapotupa adhabu ya kulea watoto peke yetu na wewe baba ukiwa hai na...
41 Reactions
435 Replies
49K Views
Waungwana, Bazazi kasimuliwa na mdau wake jinsi ndoa yake inavyoyumba. Kafumania simu ya mke ikiwa na sms za wasap na za kawaida. Anawasiliana na mpenzi wake wa pili baada ya kiwambo kuondolewa...
3 Reactions
196 Replies
25K Views
Katika jamii zetu za kiafrika suala la mwanaume kumzidi umri mwanamke katika sekta ya mahusiano limekuwa ni suala la kawaida sana, lakini pindi inavyotokea kinyume chake watu wengi hubaki vinywa...
3 Reactions
108 Replies
27K Views
Habari jamani pole na majukumu na mchakamchaka wa mvua kwa watu wa Dar. Niende kwenye mada hivi ni mimi au mpo na wenzangu wenye tabia kama yangu ya kutohonga ama kutoa pesa za huduma awali? Kwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…