Usioe sababu una pesa, oa sababu umejipanga na kuridhia

Morg

JF-Expert Member
Oct 20, 2018
1,301
1,767
Kuna rafiki yangu yeye sasa hivi anajuta sana na hana furaha na ndoa yake. Chanzo alioa sababu alikuwa na pesa. Nukuu usioe sababu una pesa, oa sababu umejipanga na kuridhia. Wapo wengi walioa sababu wana pesa sasa hivi ni mwendo wa upsdown nyingi plus divorce regrets.
 
Nimeanza kusikia na kuona ndoa zinasuluhishwa toka nikiwa na miaka 9.

Maana mtaani walikuwa wanakimbilia kwa mzee kusuluhishwa.

Sasa kipindi hicho mtoto mtukutu unajifanya umeenda kulala kumbe vikao vyote nasikia mwanzo mwisho.

Ndoa na migogoro ni mtoto na mamaye.
 
Na usiache kuoa kwa sababu huna pesa, kama umemuona anayekufaa we oa tu huwezi jua pengine baraka zako ziko na mkeo
Na nyie waambieni wazazi wenu wapunguzage mahari sio kama hatutaki lkn wanakamia hapo kwenye mahari
 
Ni kiherehere chako mwenyewe kutaka kutoa 5m yote, aliyekuambia huwa wanalipa mahari yote nani?
Kwan we kwenu walitoa shingap na alipangiwa shingap na akatoa shingap ebu tupe motivation
 
Nimeanza kusikia na kuona ndoa zinasuluhishwa toka nikiwa na miaka 9.

Maana mtaani walikuwa wanakimbilia kwa mzee kusuluhishwa.

Sasa kipindi hicho mtoto mtukutu unajifanya umeenda kulala kumbe vikao vyote nasikia mwanzo mwisho.

Ndoa na migogoro ni mtoto na mamaye.
Ulivyokuwa unavisikiliza soon vina appear kwako na sisi tuvisikiliza dunia duara
 
😂😂😂 Labda nyege zikiisha na ndoa inakufa🤣🤣
Haziishi mkuu na sisi ndo waoaji wa kudumu maana sababu ya kutufanya tuoe ipo na haitoki mpk ufe Sasa hela zikiisha kwisha habari..😂
 
Back
Top Bottom