Mke wangu hataki nimuadhibu mtoto akikosea

Kuna tabia inanikera sana mtoto akikosea yeye anamuadhibu ila mimi nikimuadhibu inakua tatizo kubwa sana hata kununa siku nzima .. wajuzi wa mambo hii hali ni kawaida au ?
Pengine adhabu unayompa mtoto ni kubwa kuliko umri, au kosa lake, au ni adhabu ya kikatili sana kiasi mke roho inamuuma, maana sisi wanawake tuna mioyo miepesi sana when it comes to our kids, mimi naweza nikamchapa mtoto halafu baadae naanza kuumia kwamba kwa nini nimemchapa, hadi namuomba msamaha, baba yake akimchapa nasikia uchungu mpaka tumbo la uzazi linakata sema tu nakua sina jinsi nakaa kimya maana nae ana haki ya kumuadhibu kama mzazi.

Sema hapo kwenye kununa anakosea sana, cha msingi kaa uzungumze nae umwelekeze namna ambavyo mnatakiwa kumlea mtoto wenu bila kukwazana, na pia punguza adhabu kwa watoto, hakuna mwanamke anaependa kuona mtoto wake anaguswa au anaadhibiwa na mtu mwingine hata kama ni baba yake..subiri wenzagu waje maana najua tunafanana kwenye swala zima la watoto.
 
Mimi hua namwambia Junior my son don't cry eeeeh,nakauliza umeharibu remote ya Tv kanajibu yes dady then namwambia haya chukua na hio miwani yangu nayo vunja sawa my lovely son.

Then Junior anaivunja miwani na akimaliza nampongeza namwambia come on junior you're everything in our family na kenyewe kanajibu Yes Papaa,nakaambia haya make papa happy nenda kajisaidie kwny sufuria la chakula jikoni,kanaenda kujisaidia kwa furahaaaaaaaaa.
 
Kuna tabia inanikera sana mtoto akikosea yeye anamuadhibu ila mimi nikimuadhibu inakua tatizo kubwa sana hata kununa siku nzima, wajuzi wa mambo hii hali ni kawaida au?
Ungeanza kumuadhibu yeye kwanza maana Biblia inaruhusu mzazi kumuadhibu mtoto usimnyime mtoto mapigo, na Allah ktk Quran karuhusu waume kuwaadhibu wake wakorofi.
"As for those (women) on whose part you fear ill-will and nasty conduct, admonish them (first), (next) leave them alone in beds (and last) beat or separate them (from you). But if they obey you, then seek nothing against them. Behold, God is most high and great.
 
Kuna tabia inanikera sana mtoto akikosea yeye anamuadhibu ila mimi nikimuadhibu inakua tatizo kubwa sana hata kununa siku nzima, wajuzi wa mambo hii hali ni kawaida au?

Mkeo anafanya mazoezi mtoto wake zaidi , kosa la wanawake wengi wanawafanyia waume zao kisa kabeba mimba miezi tisa na akazaa yeye si ndivyo walivyopangiwa , komesha hiyo tabia mapema ukichelewa utaanza kusikia mwanangu karudi shule badala mwanetu karudi shule , na kuna ujinga wanalishana mkikosana ondoka na mwanao ,
Muongoze mkeo mapema ajue wewe ni kiongozi wa familia adumu atii hilo unasimamia nidhamu yake na ya watoto kabla hajaota mapembe.
 
Mimi hua namwambia Junior my son don't cry eeeeh,nakauliza umeharibu remote ya Tv kanajibu yes dady then namwambia haya chukua na hio miwani yangu nayo vunja sawa my lovely son.

Then Junior anaivunja miwani na akimaliza nampongeza namwambia come on junior you're everything in our family na kenyewe kanajibu Yes Papaa,nakaambia haya make papa happy nenda kajisaidie kwny sufuria la chakula jikoni,kanaenda kujisaidia kwa furahaaaaaaaaa.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Mkeo anafanya mazoezi mtoto wake zaidi , kosa la wanawake wengi wanawafanyia waume zao kisa kabeba mimba miezi tisa na akazaa yeye si ndivyo walivyopangiwa , komesha hiyo tabia mapema ukichelewa utaanza kusikia mwanangu karudi shule badala mwanetu karudi shule , na kuna ujinga wanalishana mkikosana ondoka na mwanao ,
Muongoze mkeo mapema ajue wewe ni kiongozi wa familia adumu atii hilo unasimamia nidhamu yake na ya watoto kabla hajaota mapembe.
Mshikaji tayari alishafeli sio kiongozi tena wa familia
 
Wazazi wetu wangekuaga hivi nidhamu ingeshuka sana. Mzazi unamuomba mtoto msamaha tena kwa kosa la mtoto mwenyewe aiseeeeee
Pengine adhabu unayompa mtoto ni kubwa kuliko umri, au kosa lake, au ni adhabu ya kikatili sana kiasi mke roho inamuuma, maana sisi wanawake tuna mioyo miepesi sana when it comes to our kids, mimi naweza nikamchapa mtoto halafu baadae naanza kuumia kwamba kwa nini nimemchapa, hadi namuomba msamaha, baba yake akimchapa nasikia uchungu mpaka tumbo la uzazi linakata sema tu nakua sina jinsi nakaa kimya maana nae ana haki ya kumuadhibu kama mzazi.

Sema hapo kwenye kununa anakosea sana, cha msingi kaa uzungumze nae umwelekeze namna ambavyo mnatakiwa kumlea mtoto wenu bila kukwazana, na pia punguza adhabu kwa watoto, hakuna mwanamke anaependa kuona mtoto wake anaguswa au anaadhibiwa na mtu mwingine hata kama ni baba yake..subiri wenzagu waje maana najua tunafanana kwenye swala zima la watoto.
 
Nidhamu ulaya hakuna mfano mtanzania mwenzetu mbishi mbishi mange kidogo akunjwe na mwanae wa kumzaa(binti)

Kila akileta mikwara anatishiwa polisi mara watetezi wa watoto yakamshinda,mtoto akarudi kwa baba yake.
Mkuu, Ulaya kuna nidhamu ya malezi, bongo bila hivyo tutakuza kizazi cha panya road
 
Back
Top Bottom