Hapa Ni makubarini,makaburini ya masultani, hapa ni Kunduchi, pembeni kidogo, kaskazini mwa jiji la DAR es Salaam.
Haya makaburini ya masultani, yamekuwepo hapa tangu karne ya 15, na yana simulizi...
Kwa wale wasiofahamu mapenzi ya upande mmoja ni ile hali unampenda mtu alafu yeye haoneshi kukupenda hivyo unajikuta unalazimika unatumia nguvu kubwa kumuonesha unampenda
Na kuna wakati mtu...
Wakuu kati ya maswali yanayogonga kichwa changu ni hili la kuhusiana na Wanawake Mbeya.
Nilienda Mbeya wakati wa rikizo, na nilipata kutembelea wilaya mbalimbali za Mbeya.
Nilichoshangaa kuona...
Unakuta umeshamtongoza vizuri na amekukubali baharia,umemualika aje ghetto Mtoto anakuja kavaa suruali tena ya kubana (zingatia hii),chini kapiga raba tena kafunga kamba kama kagere,juu kakupigia...
Wanabodi..
Je ni sawa kwa mkeo au mumeo kutolewa out na MTU wa jinsia tofauti?
Yaani mkeo atolewe out na mwanaume ambaye anadai ni rafiki yake...
Na mumeo nae atolewe out na mdada ambae ni rafiki...
Auwezi Amini mapenzi wakati mwingine ni kama tembele ata nyuma ya choo yanastaw.
Ningekuwa mtoto wakike sijui ningeitwaje ila sababu ya kuwa wa kiume nikaitwa katoto ka shenzi, nikiwa na Miaka 16...
Sijui huyu msichana wangu anashida gani kila nikikutana nae faragha ananitia hofu kweli kweli,
Yaani nikianza tu kumpiga deki ule utamu anasikilizia kwa kutetemeka kama bodi ya trekta,
Nikimalizia...
Wakuu hivi hawa dada zetu ninyi mnawaelewa kweli.
Eti kisa nazingua kumwoa ameniambia sina future.
Wakati kila siku ananiambia beibe nakupenda na kunipiga mabusu motomoto.
Wakuu ninyi...
Wiki iliyopita nilishinda mkoa wa Manyara, katika shughuli ambayo ilitukutanisha watu si chini ya 50 kutoka sehemu mbalimbali Tanzania.
Kama kawaida, couples zikajiunda ndani ya masaa kadhaa...
KAULI YA RAIS UHURU KENYATTA KWENDA KWA WAZAZI
Amesema hata kama watakasirika wakasirike lakini huu ndio ukweli wanaopaswa kuupokea.
Kumuamsha mdada wa kazi saa 11 alfajiri na kuwaacha binti...
Utafiti huu nmeufanya kwa wanawake zaidi ya 100 wengi wanakiri hawakuwa waki enjoy mapenzi na their first boyfriends. Mpaka kuanzia wa tatu na kuendelea au wa pili.
Kisaikolojia image ya tendo...
Nimemiss kusikia Love stories zenu... [emoji4][emoji4][emoji56]
Umewahi kumpenda kimyakimya? yaani unaona hii ngoma siiwezi, siyo level zangu hizi, yaani unateseka ndani kwa ndani. Na unateseka...
Iwe umeoa au unatarajia kuoa!
Iwe ni mchumba au dem wako!
Aina ya mwanamke ulienae au unaetarajia kuwa kuwa nae ina determin haiba yako, wako baadh ya wanaume husema kuwaambia wanaume wenzao ''...
Japo inauma ila inapofikia hatua upo katika uhusiano ambao hakupi furaha wala Amani ni bora ukajitoa kuliko kuendelea kukaa katika uhusiano na mtu ambao hakupi furaha wala Amani kuna vitu vingine...
Helloo nawasalimia wote. Twende kwenye mada hivi kupata mwenzio wa kuishi nae kwa hii dunia ili badae tukutane mahari tumepangiwa ni lazima umpate ambae hajadadavuliwa au hata kama amedadavuliwa...
Habari zenu jamani
Nimeamka zangu niende toilet maana mkojo umebana kichizi, na mara paap naona mnara wa mpenzi wangu umesimama kama nyoka cobra. Na si mara ya kwanza hii, hivi hii ni sawa au...
Wakuu habari ya jioni, kama mnakumbuka wiki chache nyuma nilileta uzi hapa jukwaani kuhusu mahusiano nilonayo na aliyekuwa mpenzi wangu baada ya kushindwa vituko vyake nimeamua sasa kumtamkia...