Kaburi la ngariba na mnara wa uume

Kaburi la ngariba na mnara wa uume

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,036
Reaction score
168,674
IMG_20201021_155845_3.jpg

Hapa Ni makubarini,makaburini ya masultani, hapa ni Kunduchi, pembeni kidogo, kaskazini mwa jiji la DAR es Salaam.
Haya makaburini ya masultani, yamekuwepo hapa tangu karne ya 15, na yana simulizi za kusisimua Sana.
Masultani walizikwa na vigori wabichiiiiii, mabikira walizikwa wakiwa hai wakaliwe huko peponi.
Kuna kaburi la NGARIBA, huyu bwana kaburi lake limewekewa mnara wa uume.

Makaburini hapa utaona mbuyu wa matambiko, makaburi ya Wahindi, kaburi la mkono wa Sharifu na Mambo mengi kedekede.
Pia utamuona Jemima Liwenga.
Usikose, usipitwe, fanya utalii wa ndani
 
unaonaje ukiutumia huu uzi kutupatia Historia za maeneo hayo ya pwani ulikotembelea mkuu ? mfano kuhusu huo mkono wa sharif ,kwanini uzikwe mkono ? yeye alizikwa wapi nk
Masharifu walikuwa wakiaminika kwamba wana uwezo wa kimungu ndani yao, hivyo, walizikwa vipandevipande ili sehemu mbalimbali za nchi zipate kushiri baraka za Sharifu
 
Usitupoteze kwenye mchakato tulionao..hichi ni kipind cha uchaguzi ngoja kwanza uishe.

Zaidi usisahau kura kwa Lissu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Nadhani Mimi nimehamasisha zaidi kura nyingi kwa Tundu Lissu kuliko ulivyofa ya wewe.
Ni kweli kura zote tumpe Lissu, ila na Mambo mengine yaendelee, huwezi kuacha kumgonga mkeo eti kisa uko bize na uchaguzi
 
Back
Top Bottom