Random
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 791
- 743
Iwe umeoa au unatarajia kuoa!
Iwe ni mchumba au dem wako!
Aina ya mwanamke ulienae au unaetarajia kuwa kuwa nae ina determin haiba yako, wako baadh ya wanaume husema kuwaambia wanaume wenzao '' aisee una bahat wew! N.k ''
Faham; Bahat ni kitu kidogo sana kweny mafanikio, nyuma kuna jitihada kubwa ambayo mtu ameifanya kufkia kupata mwanamke mwenye akili au makini (lkn si akili ya darasan, nakusudia ya maisha), unaeza kumuona mwanaume ni wakawaida lkn ktk issue ya kuchagua mwanamke timamu ni siri ake, kaingia chimbo hasa, analysis za kutosha n.k
Kwa upande wa wanawake wao hua mara nyingi wanamalengo hata kama ni madogo lkn kias fln wanafanikiwa kumpata wanaemtaka, Ila sis wanaume tunahadaiwa sana na
Kupata mwanamke makini hasa ktk zama hizi tulizopo inahitaji kupiga msuli sana (tafsida hiyo)
Sent using Jamii Forums mobile app