Mliowahi kupitia mapenzi ya upande mmoja Hebu mtuambie mliwezaje kuvuka hatua hii

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
Kwa wale wasiofahamu mapenzi ya upande mmoja ni ile hali unampenda mtu alafu yeye haoneshi kukupenda hivyo unajikuta unalazimika unatumia nguvu kubwa kumuonesha unampenda

Na kuna wakati mtu unakosa majibu hapa unabaki kujiuliza hapa ninapedwa au sipedwi kwa maana mhusika kuna kipindi unamuona yupo vizuli kuna kipindi humuelewi hivyo unashidwa kufanya maamuzi ???

Mimi upande niliwahi pitia hali hiii ila nilichokifanya niliamua kutafuta mwanamke mwingine kimya kimya wa kupooza kiroho changu hivyo mwisho wa siku penzi lilikufa kimya kimya mpka miezi tatu ilivyopita ndo akastukaa mbona siku hizi uko kimya sana una tatizo gani
 
Niliwahi kupitia hii Hali kuna mtoto mmoja nilimpenda sana moyo wangu ulimpenda hatari nilivumilia kwa kila jambo na nilijitahidi sana kumuonesha jinsi Gani ninavyompenda baada ya kuona maji yamefika shingoni

Niliamua kuondoka kimya kimya bila kuaga sikumwambia tuachane ila tuu nilivyoona mawasiliano kama yamepunguwa kwangu na mimi nikapunguza mawasiliano kwake hivyo penzi likafa kimya kimya baada ya miaka miwilii akajaga kunitafuta kunilalamikia siku hizi nimemsusaa hivyoo
 
Baada ya miaka miwili kwamba bado ulikuwa na nguvu hata za kumsikiliza pumba zake😂
 
Ipo hivi
Kamwe usitumie nguvu kubwa ya ushawishi kwa mtu unaeamini anakupenda. Ukifanya hvyo alafu ikawa tofauti utaumia mno na utajiuliza sana maswali ambayo kimsingi mwenye majibu sahihi sio wewe.
Lower your expectations usitarajie makubwa acha muda ukifika uyalete hayo makubwa ambayo yanadhihirisha upendo wenu.
 
Niliwahi kupitia hii Hali kuna mtoto mmoja nilimpenda sana moyo wangu ulimpenda hatari nilivumilia kwa kila jambo na nilijitahidi sana kumuonesha jinsi Gani ninavyompenda baada ya kuona maji yamefika shingoni

Niliamua kuondoka kimya kimya bila kuaga sikumwambia tuachane ila tuu nilivyoona mawasiliano kama yamepunguwa kwangu na mimi nikapunguza mawasiliano kwake hivyo penzi likafa kimya kimya baada ya miaka miwilii akajaga kunitafuta kunilalamikia siku hizi nimemsusaa hivyoo
Hahahaa Inachekesha kwahyo baada ya miaka miwili ndio akastuka kua kaachwa😄😄
Huyo itakua aliachwa kule kwingine ndio akakukumbuka. Mtu kama unampenda na akaanza kubadilika, ndani ya siku chache tu unagundua
 
miezi tatu ilivyopita ndo akastukaa mbona siku hizi uko kimya sana una tatizo gani

baada ya miaka miwilii akajaga kunitafuta kunilalamikia siku hizi nimemsusaa hivyoo
Hii ndio hali halisi ya mwanamke anapata mwanaume mwengine humsahau mwenye upendo wa kweli. Baada ya miezi na miaka ndio humkumbuka alie mpenda kikweli 😂😂

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Hahahaa Inachekesha kwahyo baada ya miaka miwili ndio akastuka kua kaachwa
Huyo itakua aliachwa kule kwingine ndio akakukumbuka. Mtu kama unampenda na akaanza kubadilika, ndani ya siku chache tu unagundua

kuna watu wengine wakianza kubadilika inabidi tu ukae pembeni uagize na maji baridi unywe uone picha linaishaje, bora huyo ata ilipita miaka miwili kuna wengine wiki tu akiona mambo ni tofauti anarudi mbio.
 
Halaf akipata mwingine anasepa tena😀 watu wanahangaika sana duuh
 
Back
Top Bottom