Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,107
Kuna wanawake ukiwa nao kwenye uhusiano ukitaka kumuacha inabidi ujitoe ufahamu kweli kweli maana kila ukimwambia tuachane anazidi tu kuja kama wanajeshi wa Vietnam [emoji1264]
Yaani kila ukimtafutia sababu wapi anazidi kukujia kwa kasi zaidi yaani ili umpige kibuti unabidi ujitoe ufahamu kweli kweli la si hivyo utajuta!ama utaamua kuhama mtaa
Kuna wanawake hawakubali kuachika kabisa na ukifanya mchezo anabeba kabisa na mimba ili akukalie kooni zaidi!
Mnatupa wakati mgumu sana hasa sisi wanaume wapole
Kubalini kuachika basi mapenzi hayalazimishwi [emoji276]