Sijaamini nilichokiona

Sijaamini nilichokiona

Mlundilwa Jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2019
Posts
3,465
Reaction score
5,437
Wakuu habari,

Hakika maisha yanabadilika kwakweli, kuna binti niliwahi kuwa naye kwenye mahusiano then yakavunjika na chanzo Niyeye ndiye alisababisha niyavunje, kama mtakumbuka niliwahi kuja na thread hapa iliyokua inasema" nilichokiona kwa x girl friend wangu"

Wengi walinishauri niachane na yule binti kutokana na yale niliyaeleza, basi waswahili wanasema wengi wape ninafanya hivyo ingawa aliendelea kunisumbua ili nirudiane naye lakini nilitia ngumu na nikamblock

Sasa siku zikaenda miezi ikaenda hii Leo nimekutana naye tena yupo na boyfriend wake mpya aisee ilinibidi nijibanze sehemu kwa kujificha ili nihakikishe Niyeye

Ebhana kumbe Niyeye, mtoto kasuka raster zake bomba kabisa kavaa gauni imemtaiti safi kabisa shepu nje nje, nikajikuta mapigo ya moyo yanaenda mbio huku kawivu kakinijia.

Asee najuta kuchukua ushauri wa member wa humu ni bora ningemrudia demu wangu mie, ona sasa kakutana na wengine wamempendezesha mpaka nione donge
Wakuu nimeamini Dunia duara ila yote na yote niwewe uli7bisha nika break mahusiano my ex girl friend. Nakutakia maisha mema😭😭😭😭😭
 
Mkuu wanawake always ni watu wa makosa sana, unapoishi nae lazima atakua na kasoro nyingi, ukimchambua bata humli, pia kama unataka umle tu unaweza kumla tena coz aliwahi kuishi na ww huko mwanzo so ni rahisi kumla
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] za kuambiwa changanya na zako
Wakuu habari,
Hakika maisha yanabadilika kwakweli, kuna binti niliwahi kuwa naye kwenye mahusiano then yakavunjika na chanzo Niyeye ndiye alisababisha niyavunje, kama mtakumbuka niliwahi kuja na thread hapa iliyokua inasema" nilichokiona kwa x girl friend wangu"
Wengi walinishauri niachane na yule binti kutokana na yale niliyaeleza, basi waswahili wanasema wengi wape ninafanya hivyo ingawa aliendelea kunisumbua ili nirudiane naye lakini nilitia ngumu na nikamblock

Sasa siku zikaenda miezi ikaenda hii Leo nimekutana naye tena yupo na boyfriend wake mpya aisee ilinibidi nijibanze sehemu kwa kujificha ili nihakikishe Niyeye

Ebhana kumbe Niyeye, mtoto kasuka raster zake bomba kabisa kavaa gauni imemtaiti safi kabisa shepu nje nje, nikajikuta mapigo ya moyo yanaenda mbio huku kawivu kakinijia
Asee najuta kuchukua ushauri wa member wa humu ni bora ningemrudia demu wangu mie, ona sasa kakutana na wengine wamempendezesha mpaka nione donge
Wakuu nimeamini Dunia duara ila yote na yote niwewe uli7bisha nika break mahusiano my ex girl friend. Nakutakia maisha mema[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Mtoto wa kiume una lia lia .siku nyingine jifunze kuacha kimya kimya ita kusaidia sana siku ukitaka kurudi.sio unaenda kichwa kichwa utazani bifu
 
We ulijificha baada ya kuwaona, unajuaje kama huyo aliyekuwa nae ni boifrendi wake? Labda kaka yake au rafiki tu au mwanafunzi / mfanyakazi mwenzie?

Ndio ukome next time kufikia maamuzi kwa mawazo ya watu wengine. We mijitu imekaa nyuma ya kiibodi hata hawakujui na huwajui wanakushauri umuache mpenzi wako ambae unampenda na unakubali, endelea kujifichaga hivyo hivyo kila unapomuona anazidi kupendeza
 
Hauna demu mwinyine tukushauri mkuu maana hivyo vitu tushamic,tukishuri ukiacha tuna beba.
Kama ulikua hujui members wa JF ndio walimwengu.
 
Wakuu habari,
Hakika maisha yanabadilika kwakweli, kuna binti niliwahi kuwa naye kwenye mahusiano then yakavunjika na chanzo Niyeye ndiye alisababisha niyavunje, kama mtakumbuka niliwahi kuja na thread hapa iliyokua inasema" nilichokiona kwa x girl friend wangu"
Wengi walinishauri niachane na yule binti kutokana na yale niliyaeleza, basi waswahili wanasema wengi wape ninafanya hivyo ingawa aliendelea kunisumbua ili nirudiane naye lakini nilitia ngumu na nikamblock

Sasa siku zikaenda miezi ikaenda hii Leo nimekutana naye tena yupo na boyfriend wake mpya aisee ilinibidi nijibanze sehemu kwa kujificha ili nihakikishe Niyeye

Ebhana kumbe Niyeye, mtoto kasuka raster zake bomba kabisa kavaa gauni imemtaiti safi kabisa shepu nje nje, nikajikuta mapigo ya moyo yanaenda mbio huku kawivu kakiniji
Asee najuta kuchukua ushauri wa member wa humu ni bora ningemrudia demu wangu mie, ona sasa kakutana na wengine wamempendezesha mpaka nione donge
Wakuu nimeamini Dunia duara ila yote na yote niwewe uli7bisha nika break mahusiano my ex girl friend. Nakutakia maisha mema😭😭😭😭😭
 
Wakuu habari,

Hakika maisha yanabadilika kwakweli, kuna binti niliwahi kuwa naye kwenye mahusiano then yakavunjika na chanzo Niyeye ndiye alisababisha niyavunje, kama mtakumbuka niliwahi kuja na thread hapa iliyokua inasema" nilichokiona kwa x girl friend wangu"

Wengi walinishauri niachane na yule binti kutokana na yale niliyaeleza, basi waswahili wanasema wengi wape ninafanya hivyo ingawa aliendelea kunisumbua ili nirudiane naye lakini nilitia ngumu na nikamblock

Sasa siku zikaenda miezi ikaenda hii Leo nimekutana naye tena yupo na boyfriend wake mpya aisee ilinibidi nijibanze sehemu kwa kujificha ili nihakikishe Niyeye

Ebhana kumbe Niyeye, mtoto kasuka raster zake bomba kabisa kavaa gauni imemtaiti safi kabisa shepu nje nje, nikajikuta mapigo ya moyo yanaenda mbio huku kawivu kakinijia.

Asee najuta kuchukua ushauri wa member wa humu ni bora ningemrudia demu wangu mie, ona sasa kakutana na wengine wamempendezesha mpaka nione donge
Wakuu nimeamini Dunia duara ila yote na yote niwewe uli7bisha nika break mahusiano my ex girl friend. Nakutakia maisha mema[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Inategemea ulimuacha kwa kosa gani, Kama Ni Jambo la kizembe we umia tu kwa kufanya maamuzi hayo.

Ila Kama Ni jambo serious aah jiaminishe umetua mzigo ameokota mwingine!
 
Wakuu habari,

Hakika maisha yanabadilika kwakweli, kuna binti niliwahi kuwa naye kwenye mahusiano then yakavunjika na chanzo Niyeye ndiye alisababisha niyavunje, kama mtakumbuka niliwahi kuja na thread hapa iliyokua inasema" nilichokiona kwa x girl friend wangu"

Wengi walinishauri niachane na yule binti kutokana na yale niliyaeleza, basi waswahili wanasema wengi wape ninafanya hivyo ingawa aliendelea kunisumbua ili nirudiane naye lakini nilitia ngumu na nikamblock

Sasa siku zikaenda miezi ikaenda hii Leo nimekutana naye tena yupo na boyfriend wake mpya aisee ilinibidi nijibanze sehemu kwa kujificha ili nihakikishe Niyeye

Ebhana kumbe Niyeye, mtoto kasuka raster zake bomba kabisa kavaa gauni imemtaiti safi kabisa shepu nje nje, nikajikuta mapigo ya moyo yanaenda mbio huku kawivu kakinijia.

Asee najuta kuchukua ushauri wa member wa humu ni bora ningemrudia demu wangu mie, ona sasa kakutana na wengine wamempendezesha mpaka nione donge
Wakuu nimeamini Dunia duara ila yote na yote niwewe uli7bisha nika break mahusiano my ex girl friend. Nakutakia maisha mema[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Usitufokee bwana
 
We jinsia gani ?
122593451_2740797049471953_1777710575627596097_n.jpg


Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Ebhana kumbe Niyeye, mtoto kasuka raster zake bomba kabisa kavaa gauni imemtaiti safi kabisa shepu nje nje, nikajikuta mapigo ya moyo yanaenda mbio huku kawivu kakinijia.

Asee najuta kuchukua ushauri wa member wa humu ni bora ningemrudia demu wangu mie, ona sasa kakutana na wengine wamempendezesha mpaka nione donge

"Akili za kuambiwa changanya na zako"​

​
 
Ndio mimi niliyekuwa nae mkuu..namfaidije!we ulikuwa humpi hata pesa ya pedi,unategemea nin hapo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom