Nimemiss kusikia Love stories zenu...

madeinmusoma

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
322
386
Nimemiss kusikia Love stories zenu...

Umewahi kumpenda kimyakimya? yaani unaona hii ngoma siiwezi, siyo level zangu hizi, yaani unateseka ndani kwa ndani. Na unateseka hasa! Ulimwambia au ulinyuti tu?

Umewahi kufanya kituko sababu ya mapenzi juu ya mtu? ulifanya nini? labda kutoroka kazini/shule ili ukamwone, au kuua marehemu ili upate upenyo?

Umewahi kumkataa mtu kwa nguvu zote halafu mwisho ukaangukia hapo hapo? Kama yule Subira Mangumi?

Umewahi kuumizwa, umewahi kuumiza au kuingizwa mjini mwisho ukajuta? Kuna mtu alitoka mkoani akaja Dar, aliachiwa msala wa kulipia hoteli aliyokaa siku tatu. Hakuamini!

Umewahi kumkimbia mtu uliyepanga kukutana naye kwa mara ya kwanza? kwa nini ulikimbia?

Umewahi kukutana na mkasa gani kwenye mapenzi/ uhusiano hutakaa usahau

Wenye stori mnipe michapo na mimi leo nisome stori za watu... Wale wapita kimya kimya, ukipita kimya uvimbe masikio.
 
Demu mwembambaaaaa bonge la wigi. Simuelewi. Nikachukuaga namba hivo hivo. Mshikaji wangu nikampa namba yeye ndio akachape baada kama wiki.
Nikamuonya demu kituko mi sina hamu. Akasema ye anataka showw tu. Nkamuambia poa go ahead.
Wakawasiliana na mlupo huo. Jamaa katega sehemu kwenye gari. Alivouona mlupo alikanyaga futa njia nzima anacheka mpaka aliponikuta maskani

Akasema dah kweli ningekusikiliza.
 
Jamani. Eti mlupo. Huo mlupo si nao umeumbwa na Mungu. Muwage na utu jamani kha !!!
 
Dah!hio ya kumpenda mtu kimya kimya imeshanitokea,halafu ilishatokea kumpenda binti mmoja,huyo demu nilikuwa nafukuzia Ila dem ananirushia kuja kugundua kumbe kuna mtt wa tajiri mmoja wa mtaan nae anafukuzia basi niliumia sana ndio nikaamua kupotezea na maisha yanaendelea fresh
 
Jamani. Eti mlupo. Huo mlupo si nao umeumbwa na Mungu. Muwage na utu jamani kha !!!
Kwani mlupo ni nini. Wewe utakua umezaliwa juzi.
Unajua wimbo wa Ngwear. Mikasiiii....
Basi kasikilize huo wimbo. Ndio utajua milupo ni nn.
 
From Inbox huko FACEBOOK
Utashea ww kweny comments

Mi yalinikuta ya kumkimbia mtu. Ilikuw humu Fb. Tulianza kama utani nini nini jamaa alikuwa muungwana sana ila hana pic hata moja. Mie tena busara zake tu hoi

Tukapeana namba akawa ananpigia tunkesha mastori kama yote. Mapensiii dada. Nikiwa na shida ananisaidia fasta basi ikaja sas tuonane. Tukakubaliana tukutane kariakoo.

Mungu ansmehe picha niliyokua nayo kichwani tofauti na uhalisia niloukuta. Yaani mtu kajaa kama anameza vitenesi. Mwili hinya baunsa si baunsa. Nikasema uku ndo kumpa malaika wa kifo kadi ya mwaliko. Nikadanganya kwa meseji nimepta dharura ivo siji tena nkakimbia hadi sendo ikanikatikia njiani nilikuwa naenda kjmara ila nilidandia gari za muhimbili nikaenda kutulia pale nje ya hospitali sijui hta kilichonileta.

Akapiga simu anacheka anasema amekuja na rafiki yake. Alihangaika sana hadi mie kumwelewa. Saizi tuna ndoa na mtoto wa miaka miwili. Nkikutna n rafikiye huyo baunsa nakumbuk mbio nilizonifikisha muhimbili.
 
hahahaaa, sasa kilichokufanya ukimbie ni nini?.. uliwaza nini ulivoona baunsa.
 
Friday ,jion May 23

Niko zangu class nimekaa peke yangu nipo na machandi na ma roger mancaster juu ya meza kuzugia hakuna ninachoelewa nimeenda kupunguza mawazo na kulia why Nina mawazo kunguru wa manzese mtoto wa slum msela wa kitaa mtoto wa mbwa that's story for another day

class kumetulia hata upepo unaskia watu wapo uwanjan wengine dormitory mtoto anapita kuelekea uwanjani kuangalia mpira wa wavu ananiona mbali kwa dirisha sina mazoea nae sana anaita kunguru !! ...kunguru ! We kunguru !! Mwamba nimemlia buyu nadhan alikuwa anataka kunisalimia

Akamua aingie class " yaani wewe nakuita unajifanya uniskii mwenyewe nlkua nakusalima " nikajibu Daah nilikuwa na mawazo akaniambia unawaza nini ? Nikakwepesha kwa kumuuliza swali kwani tunasoma wote ? Ndio " tatizo unakaa backbencher na wahuni wako hujui watu ila mi nakujua naitwa Raya. Oky mi naitwa kunguru mwana wa manzese " akacheka .mi nakujua

Hapo naona manzi inanipotezea mda halafu ilikuwa jioni na vile imevaa mjuba mkubwa imejifunika nikaiona kama manz flani mbovu .kwakua Ali insists nimwambie kilichonisibu nilimwambia tu sjui ujasir ulitoka wapi alizidi kunionea huruma

Kesho asubuh kama kawaida naingia kipind kipo kati ticha " we kunguru ulikuwa wapi unadhan hapa ni chooni au ni kule vichochoron kwenu manzese unaingia mda wowote wanafunz wakacheka lakini hapo wana wanazid kuniona legend napata mapoints lakin ukwel ile hali ya kuchelewa sikuipenda ni hivyo tu matatizo yananitafuna kwa ndan

Ticha ametoka kipind kinaicha Mara mtoto black beauty na dimponz kwa mbali ametabasamu na meno ya kuwaka mrefu kidgo anakuja bakibenja anavuta kiti pembeni ambacho nipo jiran nacho dawati fulan hivi la Mosha lilikuwa tupu hapo mwamba yupo porini anachoma viazi na yupo na viroba na wadau Daah yule mchaga alikuwa hapendi shule wakati anafanya hivyo nikafunika mkebe wangu ( compass) ulikuwa ndani na kalamu mbili moja mbovu ,kichongeo yaan nyembe na kipande cha bangi wakati anakuja backbencher wana wanashangaa tu huyu vipi maana tulishaweka policy huku nyuma ni man land hakuna chick kufka nikajisemea moyon huyu bint ananiharibia anifanye nionekane soft

Baada ya kuvuta kiti na kukaa " mambo" mi raya unanikumbuka . nikajisemea moyoni kumbe hii manzi piruu hivi . nikamjibu nakukumbuka akatabasamu unaendeleaje nikamjibu safi akasema matatizo yako nimeyatafakari Jana nimeamua kukusaidia kwakua ni may bado kama wikii kadhaa tufunge tukifunga utanielekeza kwenu nitakuja na Dada halafu namb zangu hz tukifunga nitafute nikaitia sawa wala usijal kunguru " Daah machoz kama yaninilenga ila kidume nikajikaza

Oyaa nimechoka kuandika ***** nitarudi baadae ..

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
...
 
Oya acha hizo wewe kunguru Mbona unakuwa kavu sana ebu malizia story
 
Ahahahaa we kunguru malizia bhana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom