never Se me
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 702
- 1,013
Auwezi Amini mapenzi wakati mwingine ni kama tembele ata nyuma ya choo yanastaw.
Ningekuwa mtoto wakike sijui ningeitwaje ila sababu ya kuwa wa kiume nikaitwa katoto ka shenzi, nikiwa na Miaka 16 tiyari nilimpa mimba na kusababisha mama wa Miaka 44 Kuzaa....
Unafikili ningeitwa nani kama sio katoto kashenzi kumpa mimba mke wa mtu tena nikiwa na Miaka 16 tu,
Sio siri kuna wakati uwa na kukumbuka mama shania ,miaka 10 imepita sasa wewe na mwanangu shania sijui upo wapi,
Japo ulifunguliwa kesi ya ubakaji wakati uo ,ila ulizungumza wazi kuwa ulikuwa na mapenzi ya dhati na mimi,
Kwa ujasili kabisa nilikutetea na kusema mbele ya wakili na kusema ata mimi nakupenda tena tulifanya bila ya ww kunilazimisha,
Jua BABA alikasilika na kusema Kweli nimezaa KATOTO KASHENZI adi Leo ujue kwenye ukoo wote wananiita KATOTO KASHENZI,,,
wewe ndo ulikuwa mwanamke wa kwanza kupendwa na mimi na uliyafaiidi mapenzi ya katoto kashenzi,