Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habarini wadau, Nina rafiki yangu kwao wamezaliwa watoto wa kike wanne wote. Rafiki yangu ananisimulia kwamba baba na mama wanamjali sana mtoto wao wa kwanza wa kike mpaka huwa wanawaambia sisi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwanaume wa Kiarabu au wa Kihindi hata kama dukani au ofisini Kwake ameajiri Mfanyakazi wa Kike ambaye ni Mrembo hasa (siku hizi mnawaita Pisi Kali) ni mwiko na kamwe hatoweza hata Kumtongoza ili...
15 Reactions
82 Replies
16K Views
Katika mahusiano swala la migogoro ni swala la kawaida sana na swala kugombana au kutofautiana ni kawaida sana lakini pia tunapogundua tumekosea huwa tunajitahidi wengine kuomba msamaha na...
5 Reactions
36 Replies
4K Views
Habari marafiki zangu wa kwenye uwanja huu wa mahusiano! Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 48 ambaye nina watoto tayari. Niliachana na aliyekuwa mke wangu miaka 8 iliyopita na hadi sasa nipo...
5 Reactions
24 Replies
4K Views
Ni waiter katika restaurant moja hivi, nilikuwa napenda kwenda pale kupata breakfast kila siku za kazi yaani Jumatatu hadi Ijumaa Kiukweli tangu mara ya kwanza nilipoenda pale nilikuwa nimevutiwa...
11 Reactions
74 Replies
7K Views
Habarini za maisha ndugu zangu.. Leo Shinyanga jua ni kali Sana. Lakini tunakomaa hivyo hivyo na haya maisha. Sitaki kumchosha mtu, issue ipo hivi.. Kuna wadada ni vipengere aise.. Yeye siku...
11 Reactions
71 Replies
7K Views
Fuatilia mahusiano kwenye mjadala huu usikie maajabu
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hello Mimi ni kijana wa KIUME mtanzania umri wangu miaka 29,mfanyabiashara naishi dar es salaam Tanzania.Elimu yangu ni Bachelor degree.DINI YANGU MUISLAM NATAFUTA MCHUMBA MWENYE SIFA ZIFUATAZO...
0 Reactions
0 Replies
846 Views
Baada ya kuwa katika mahusiano na wanawake mbalimbali na kukutana na changamoto mbalimbali, ililazimu kukaa chini na kutafakari ni mtindo upi wa maisha niishi ili niweze kuepukana na matatizo na...
4 Reactions
44 Replies
5K Views
Wadau yaani Kuna hali imenitokea nimeshindwa kuilewa yaani mapenzi hayanistui kabisaa yaani ata nikiwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke ata nikijua ana ni cheat au anatoka na mwanaume...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Hakuna jambo gumu kama kuchagua mwenza wa maisha yako ambaye utaishi naye maisha yako yote mpaka pale kifo kitakapowatengenisha. Kujitolea kuishi na mtu siyo jambo jepesi, ndiyo maana mimi Nafaka...
10 Reactions
15 Replies
2K Views
Katika maisha kuna mambo mengi sana watu wengine hukumbwa na visa na mikasa mizito mpaka kufika hatua ya kuona dunia ni chungu. Je wewe ushawahi kusingiziwa kitu au Jambo fulani kuwa umefanya...
3 Reactions
146 Replies
19K Views
Nakumbuka ilikuwa mwaka 2015 ndio nakutana na huyu Dada kwenye moja ya mikoa kanda ya ziwa alikuja kwa mjomba wake na mimi nilikuwa zangu nishaanza mapambano ya kusaka $ . Alikuwa amemaliza Kati...
3 Reactions
112 Replies
15K Views
UNAMWACHIA NANI SASA😃😃😂😂? Nikikuangalia nakuona kama malaika kasoro mabawa tu maana moyo kama wako hata robo sifikii na uvumilivu wako ni wajuu kuzidi hata ubungo interchange na kujitolea kwako...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Bandugu habarini za mida hii na poleni na mihangaiko ya hapa na pale. Hivi uliwahi kutokea unakuta umekutana na manzi hamu inakata kabsaaaaaa....yaani mzigo huo hapo unakuwekea na kukubinyulia...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari JF mapenzi. Nimewahi kwenda sehemu fulani kwa kazi ya shirika lisilo la kiserikali. Tulianza kuongea na vijana takribani 200 huku Kati yao wasichana ni 130. Mbele alikaa mrembo fulani na...
4 Reactions
39 Replies
4K Views
Wengi tumekuwa tukidiscuss kwa nini wanaume wengi huwa tunakufa mapema katika ndoa kuliko mababu zetu. Sababu moja kubwa ambayo tunaisahau ni kuwa kiasili mtu mwenye umri mkubwa sana ndio huwahi...
9 Reactions
54 Replies
9K Views
Habari wana JF, Hii ndo tofauti ya love mate vs soul mate: Soul mate- ni mwenza katika mapendo ambae hupatikana kwa kujikuta tu umempenda toka moyoni pasina sababu yoyote, katika upendo...
9 Reactions
76 Replies
10K Views
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Kwanini wazazi wengi (hususan wamama) hupenda watoto wao kuoa/kuolewa katika familia za rafiki? Did you marry...
4 Reactions
54 Replies
6K Views
Hope mko poa Moyo wangu unasononeka sana, ndan ya wiki moja yametokea matukio ya ajabu sana hapa mtaan kwetu. Yaan kila nikifikilia na kuangalia nakosa hata ham ya kula. Lakini kabla...
6 Reactions
68 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…