Hii ndo tofauti ya Soul Mate Vs Love Mate

Mr. Sound

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
1,166
2,427
Habari wana JF,

Hii ndo tofauti ya love mate vs soul mate:

Soul mate- ni mwenza katika mapendo ambae hupatikana kwa kujikuta tu umempenda toka moyoni pasina sababu yoyote, katika upendo ukibahatika kupata mwenza wa aina hii utaenjoy sana mapendo.

Love mate- huyu ni mwenza katika mapendo ambae hupatikana kwa kujikuta umempenda kwa sababu fulani, mfano uzuri wake, umbo lake, sauti yake, kipato chake na nk... upendo wa aina hii ni mzuri lakini una-expire date kwa sababu hauasisiwi na moyo direct.

Je, kwa maelezo haya mwenza wako ni soul mate or love mate?
 
Back
Top Bottom