Ladies mkuje hapa tuseme jambo

pisi jacky

Member
Oct 21, 2020
31
150
Hope mko poa

Moyo wangu unasononeka sana, ndan ya wiki moja yametokea matukio ya ajabu sana hapa mtaan kwetu. Yaan kila nikifikilia na kuangalia nakosa hata ham ya kula.

Lakini kabla sijawasimulia naomba Niulize swali. kuna shida gani?!mwanaume akiwa na wake wawili na wote anawahudumia vzuri ni nin kinafanya wanawake wengi waikatae hii Hali?

Dear ladies Why can't you share your man?
 

Quetzal

JF-Expert Member
Dec 9, 2018
5,258
2,000
Mimi Sioni shida kabisa . Mume kuwa na wake wawili au zaidi..lakini afanye uadilifu ..Kama Ni zamu iwe sawasawa na mtunzo pia..

Inawezekana anampenda mmoja zaidi lakini anatakiwa atendee wote sawa.

Sio mtu Anaoa bimdogo anahamia huko miezi sita..Si sawa.
 

Joannah

JF-Expert Member
May 8, 2020
471
1,000
Mapokeo ya waliotutangulia ndio tatizo, Christian tumeaminishwa na wazungu hatutakiwi kushare,kitu ambacho hakina uhalisia kwenye jamii zetu. personally naona Bora kushare Kama waislam mnajuana,mnaheshimiana,watoto wanafahamiana fresh, kuliko huku kwetu kwenye Christianity kumejaa unafik mijitu inacheeeeeat utasema imelogwa,....kimbembe msibani watoto haooo
 

Jurjani

JF-Expert Member
Apr 6, 2018
20,133
2,000
Mapokeo ya waliotutangulia ndio tatizo, Christian tumeaminishwa na wazungu hatutakiwi kushare,kitu ambacho hakina uhalisia kwenye jamii zetu.... personally naona Bora kushare Kama waislam mnajuana,mnaheshimiana,watoto wanafahamiana fresh, kuliko huku kwetu kwenye Christianity kumejaa unafik mijitu inacheeeeeat utasema imelogwa,....kimbembe msibani watoto haooo
Naomba uwe mke wangu wa nne.

Mimi leo kwenye huu uzi natafuta mke tu. Nyinyi endeleeni kuchangia mada yenu.
 

Assalafiyyu

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
1,798
2,000
Hope mko poa

Moyo wangu unasononeka sana, ndan ya wiki moja yametokea matukio ya ajabu sana hapa mtaan kwetu.
yaan kila nikifikilia na kuangalia nakosa hata ham ya kula, lakin kabla sijawasimulia naomba Niulize swali. kuna shida gani?!mwanaume akiwa na wake wawili na wote anawahudumia vzuri ni nin kinafanya wanawake wengi waikatae hii Hali?
Dear ladies Why can't you share your man?
MIMI NIPO TAYARI KUONGEZA MKE MWINGINE WA PILI..
ALIYE TAYARI KWA NDOA AJE INBOX TUFUATE UTARATIBU...UADILIFU UPO WA KUMWAGA...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom