Nimeamua kuwa 'Boya' ili kunusuru pendo langu

Nimeamua kuwa 'Boya' ili kunusuru pendo langu

Msukuma wa dar

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2016
Posts
1,160
Reaction score
1,204
Habarini za maisha ndugu zangu..

Leo Shinyanga jua ni kali Sana. Lakini tunakomaa hivyo hivyo na haya maisha.

Sitaki kumchosha mtu, issue ipo hivi..

Kuna wadada ni vipengere aise..

Yeye siku zote hataki amani. Mkitulia tu kidogo utashangaa kashaumua jambo. Yani ili mradi tu amani ikosekane..

Juzi aliniita kwenye birthday party ya rafiki ake. Wasukuma na birthday wapi na wapi jamani. Nikamplz km sitoenda. Ajab paka Leo nimenuniwa..

Leo kanitaka nimsindikize hospital. Akaniambia nguo ya kuvaa. Nikamjb lile shati ni chafu. Et lifue muda ukifika litakuwa limekauka. Yani m niache mambo yangu nikakalie kufua Shati. Nikamjb nko mbali. Nimekaushiwa hadi sasa..

Kuna siku alikuja home bila kunijulisha. Akanpgia ila skuwa hewani. Ajabu akaniweka funguo chn ya mlango na kusema hatokuja tena. ( kumbuka kila mmoja alikuwa na funguo yke )

Mambo n mengi..

Itabidi niwe ' kolo ' ili kunusuru pendo. Au mnasemaje wadau
 
mwanamke ukiwa hauna pesa ni ngumu mno kumpa atensheni, hebu tafuta hela mambo yakujifanya kolo ajili ya nyapu ni umama ulovuka mipaka ya wamama hadi ukapindukia kua udada ulochanganyikana na usichana.

nb: samahani kwa gazeti hili refu
 
Back
Top Bottom