Mbanti
JF-Expert Member
- Apr 29, 2017
- 946
- 1,741
Bandugu habarini za mida hii na poleni na mihangaiko ya hapa na pale.
Hivi uliwahi kutokea unakuta umekutana na manzi hamu inakata kabsaaaaaa....yaani mzigo huo hapo unakuwekea na kukubinyulia vizuri tu ila mzee anagoma kabsa na wakati sio kwamba upo na matatzo labda inatokea au ukipiga kimoja halafu chali.
Unaishia umezea mate na kutamani mzee awahi amka aseee🥱🥱🥱