Nimeamua kuwa Michael Jackson wa pili katika suala zima la mahusiano

worldboss

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2015
Messages
1,701
Points
2,000

worldboss

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2015
1,701 2,000
Baada ya kuwa katika mahusiano na wanawake mbalimbali na kukutana na changamoto mbalimbali, ililazimu kukaa chini na kutafakari ni mtindo upi wa maisha niishi ili niweze kuepukana na matatizo na changamoto katika suala zima la mahusiano na ndoa kwa ujumla.

Ilinichukuwa muda mrefu sana kupata jibu, lakini jibu limepatikana na mpaka sasa hivi nimeshaanza kufuata mtindo wa maisha au life style ya kaka mkubwa Michael Jackson au Wacko Jacko, the King of Pop.

Katika ujana wake kaka mkubwa MJ alishurutishwa sana na kitu kinachoitwa mapenzi lakini baadaye alikuja kuibuka na legendary life style ya kuzaa na wanawake na kuchukua watoto wake pasipo kuendeleza mahusiano yoyote na wazazi wenzake.

Hii ilimsaidia sana jamaa, maana nguvu na akili zote aliwekeza kwa watoto wake na yeye mwenyewe.

Hivyo basi, na mimi nimeamua kuishi katika mtindo huu ambao nimeupa jina la legendary life style of MJ.

Hivyo basi, wakuu hamutokuja kusikia mtu mzima Worldboss anakuja kuoa wala kulialia hapa jamvini. Mimi na mechi za mchangani, mechi za mchangani na mimi.

FAIDA YA LIFESTYLE HII:-

1. Hakuna muda wa kupoteza kuhangaika kumridhisha mtu ambaye hana umuhimu wowote kwako wala guarantee yoyote.

2. Unapata muda wa kuenjoy maisha utakavyo (full of fantasy)

3. Utaepuka dharau za kijinga jinga kama kuitwa mwanaume suruali au kibamia.

4. Utaishi bila ya presha ya kugongewa iwe demu au mke.

5. Utapata muda mwingi wa kufocus kwenye issue za maana na za kimaendeleo.
 
worldboss

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2015
Messages
1,701
Points
2,000

worldboss

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2015
1,701 2,000
Umeamua hayo baada ya kukumbwa na mkasa gani mkuu?
sijakumbwa na mkasa mkubwa wowote ... sema ninaangalia kinachoendelea katika jamii naona nikijiingiza huko nitapotea mazima.

Alafu kiasili mimi ni mtu egoistic sana, kwa hiyo maamuzi haya ni kuepusha shari tu mkuu.
 
Lucas Mobutu

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Messages
11,422
Points
2,000

Lucas Mobutu

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2017
11,422 2,000
Huogopi upweke ukifika fainali?
hata kabl ya fainali upweke upo , MJ alikua mpweke na huenda kama angekuwa na mke asingekufa vile
mimi nimewahi kusema sitaki mpenzi ya kudumu eti naishi single, upweke ulinipiga kofi zito sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MAGALLAH R

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Messages
919
Points
1,000

MAGALLAH R

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2014
919 1,000
sijakumbwa na mkasa mkubwa wowote ... sema ninaangalia kinachoendelea katika jamii naona nikijiingiza huko nitapotea mazima.

Alafu kiasili mimi ni mtu egoistic sana, kwa hiyo maamuzi haya ni kuepusha shari tu mkuu.
Haina shida mkuu.
Karibu kwenye ndoa yangu naona mwenzio
 
Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Messages
11,947
Points
2,000

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2017
11,947 2,000
hata kabl ya fainali upweke upo , MJ alikua mpweke na huenda kama angekuwa na mke asingekufa vile
mimi nimewahi kusema sitaki mpenzi ya kudumu eti naishi single, upweke ulinipiga kofi zito sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Upweke unakuja siku ukiwa fresh mfukoni, ila ukiwa kavu ndo unakuwa na mawazo kama ya jamaa.
 
worldboss

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2015
Messages
1,701
Points
2,000

worldboss

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2015
1,701 2,000
Upweke unakuja siku ukiwa fresh mfukoni, ila ukiwa kavu ndo unakuwa na mawazo kama ya jamaa.
hapana mkuu ... hiyo labda kwako mimi niko njema tu na mawazo yangu ndiyo hayo.

Sema nimefikilia mbali sana mimi ni mtu egoistic alafu short tempered na kwa tabia za wanawake naweza ishia pabaya zaidi kuliko huo upweke mnaouzungumzia.
 
stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Messages
9,682
Points
2,000

stephot

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2012
9,682 2,000
6.Utakufa mapema kwa stress za kutokuwa na mke..kwa kuwa imeandikwa Mwanaume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe nao watakuwa mwili mmoja (Mwanzo 2:24)...
 
worldboss

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2015
Messages
1,701
Points
2,000

worldboss

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2015
1,701 2,000
hata kabl ya fainali upweke upo , MJ alikua mpweke na huenda kama angekuwa na mke asingekufa vile
mimi nimewahi kusema sitaki mpenzi ya kudumu eti naishi single, upweke ulinipiga kofi zito sana

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu mj alikuwa mpweke ni kwa sababu ya ustaa ulimnyima uhuru wa kuishi atakavyo na pia media zilimuandama sana na wala si mapenzi fuatilia vizuri mkuu.
 
worldboss

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2015
Messages
1,701
Points
2,000

worldboss

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2015
1,701 2,000
6.Utakufa mapema kwa stress za kutokuwa na mke..kwa kuwa imeandikwa Mwanaume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe nao watakuwa mwili mmoja (Mwanzo 2:24)...
hakuna kitu kama hicho mkuu... maamuzi haya ni baada ya kufikiri kwa makini sana na wala si ya kukurupuka.

Nimekaa kwenye mapenzi najua nini kinachoendelea na najiua mimi ni mtu wa aina gani sitaki kuishia jela kwa kosa la gunia tatu za mkaa.
 
Forum statistics

Threads 1,392,565
Members 528,643
Posts 34,111,571
Top