Tarehe 1 Disemba 2020 timu yetu ilipokelewa kwa bashasha na mabinti watatu kutoka shule ya Sekondari ya Nyikoboko mkoani Shinyanga. Mabinti hawa kwa majina yao ni Mengi Daudi, Helena Joseph pamoja...
Jamani naombeni mnisaidie, kuna mtoto wa baba mdogo kaja kupiga field sasa anakaa kwetu wote ni wana chuo lakini tupo vyuo tofauti na tupo kada ya afya na wote tupo upande wa Pharmacy wao kwa muda...
Demu alinivutia, nikamtokea akanitolea nje akisema ana mpenzi wake na anampenda sana. Kiufupi hawezi kumcheat na hawezi pia kunifanya mie mpango wake wa kando. Nikawa mpole, nikajikata kiaina...
Habari zenu wana mmu!
Naomba kujulishwa aina hii ya wanawake wenye tabia za kiume, inakuwaje mpaka wanakuwa na hizi tabia zinazofanana na za kiume?
Wao katika maongezi, mavazi, mitembeo yao...
eti,naomba kuwauliza.
katika mahusiano,inachukua how long toka kuanza kununiana na mpenzi wako mpaka kuanza kusemeshana tena?
Maana naona week ya pili inakatika sasa na hakuna mwenye dalili ya...
Wengi hupenda kutumia jina la misambwanda kwa wanawake wenye makalio makubwa
Ni wanawake ambao wakipita sehemu hasa vijiweni lazima waache gumzo kuhusu ukubwa wa misambwanda yao
Ila utafiti...
Happy new December 2020 month,
Niende kwenye mada moja kwa moja, unakuta mwanaume umekuatana na mwanamke mahali popote hata kama ni Jamii Forums, pale tu unapoanza kuwasiliana nae na kuonesha nia...
Salam kwenu jukwaani.Mimi ni mwanamke wa miaka 32,nina mtoto mmoja na Sijawahi kuolewa.Nimejitokeza nikiwa na dhumuni thabiti la kupata mwenza.
Ninahitaji mwanaume mwenye sifa zifuatazo
Awe...
Naomba msaada wa mawazo wakuu,
Mama Ngina wangu nikiwa niko safari, kukawa na hafla huku nyuma ya jirani yetu. Nimekuta wife kapiga picha akiwa pamoja na rafiki yangu na mwanangu mdogo.
Ni picha...
Natumaini wote ni wazima wana JF,
Mimi ni moja kati ya wanaume ambao na uwezo wa ku-control hisia zangu. Ninauwezo wa kukaa na mwanamke/msichana kwa zaidi ya mwezi bila kufanya mapenzi mpaka pale...
Daa leo nusu nusu niumbuke kwa bi mdashi mmoja hivi mweupe pee mwenye trakoo na pesa zake za kuzugia hapa mjini,
Picha linaanza hivi bi mkubwa nilikuwa nammendea ila kumwambia ndio nilikuwa...
Utakuta ni kijana rijali shababi ana future nzuri ameweka misingi bora kwa ajili yake na familia yake lakini anakuja kukosea kwa kuoa mke wa mtu na kuishi na familia ya mwanaume mwingne
Maandiko...
Hadi kufikia siku ya jana nimehudhuria harusi 6 ndani ya mwaka huu, kitu kilichonishangaza na kunifanya nije na mada hapa ndani ya hizo 6 nimeshuhudia harusi 5 bibi harusi yuko ndani ya shela na...
Tabia ni kama mazoea ya mtu na kama inavyojulikana tabia ni ngozi.
wewe mpaka ulipofikia hapo ni tabia gani huzipendi kwa watu na huna cha kufanya? Au ni tabia gani kutoka kwako huipendi na...
Kwa kweli sijui niwalaumu hawa wamiliki wa TV Stations au sijui nifanyeje! Ninapokuwa home vita ni kali sana mpaka tunanuniana. Kwa akili ya remote. Wife yeye hachoki kuangalia Tamthilia mimi...
Kuna msg imeingia kwenye simu ya mke wangu ikitoka kwa wifi yake (mke wa mdogo wake) . Clearly ni ya mapenzi akisema wataonana na bla bla zingine; na leo kweli ameamka anasafiri kwenda mjini? Msg...
Love is a beautiful thing indeed, when it hits a right spot it makes a person glow and glitter with happiness, maneno huwa matamu namna hii. Lets make our patners happy wandugu.
[]
Hii sio nyingine bali ni kurudiana na Ex girlfriend mliochana kwa kipindi kifupi ama kirefu na asilimia karibia zote za wapenzi waliorudiana mara nyingi yanaishia vibaya zaidi ya mwanzo. Kwangu...
Wadau niambieni ukweli
Hivi kosa kubwa ni lipi hapa?
Mfano, unataka umjue vizuri bebe wako pindi àkikasirika anareact Veep au ndo mzee wa kupiga mke / mume ndani ya nyumba n.k
Ukimwambia...