Wasalaam ndugu zangu wanajf wote!
Siku zote mwanafunzi akifanya vizuri hupongezwa kwa kupigiwa makofi au kupewa zawadi. Vivyo hivyo kwa mwanafunzi akifanya ujinga huadhibiwa kwa viboko ama adhabu...
Katika story za hapa na pale, mdada kanipa story full jinsi alivyokutana na mwanaume kibamia. Anasema alisikia hasira sana baada ya kuchezewa muda mrefu kisha jamaa kuingiza kibamia chake ukeni...
Sikuwa najua,
Kumbe kuwa na mwenza ambaye hasapoti juhudi zako za maendeleo INABOA SANA WAUNGWANA. Kitu ambacho sikua najua kumbe mke wako pia anaweza kukuonea wivu na kukudhuri kwa husda...
Bibi yangu alisomaga huko masasi miaka hiyo. Sasa alinisimulia kuwa wakiwa vijijini siku moja wakakuta mdingi amebeba vitu kama anahama.
Walipomuuliza akawajibu kuwa mama yenu kanifukuza. Ni...
Poleni na hofu ya gonjwa hatari la corona.
Habari zenu,
Kama mtakumbuka vyema hivi karibuni nilileta ombi la kutafuta mke mwema. Mambo yakawa yanajipa taratibu sana tofauti na malengo yangu...
.......Jamaa kasimama Leo siku ya 3....imenilazimu kuvaa Jeans bila kupenda... Kama mishale vile inachoma kwa Bakari kichwa..
Nashinda naloweka bakari kichwa kwenye beseni la maji.
Sent using...
Wanaume ninyi ndio baba zetu na viongozi wetu. Mbona mnakubali kubaki nyuma katika jamii na kuacha mambo yafeli? Ni nani atakuwa mtetezi wetu sisi akina mama na watoto kama ninyi mnaogopa na...
Miaka ya mwanzoni mwa 2000, nikiwa ndio naingia mwaka wa nne kumalizia shahada yangu ya kwanza. Nikiwa na mahusiano na binti ambaye alikuwa amechukua kozi ya miaka mitatu.
Baada ya binti kumaliza...
Kuna vitu vitatu(Imani, Tumaini na Upendo) ambavyo kama binadamu anavihitaji ila kati ya mambo hayo matatu UPENDO ndio jambo kubwa ambalo kila mmoja analihitaji kuliko mengine hayo ata Biblia...
umri:24
kazi:dereva piki piki,gari na bajaji
kabila:mchaga
elimu:4m4
wasifu:mnene kiasi mbavu,
rangi:metailk black.
dini:muislam
nahitaji mke ama mwanamke wa kuish nae ili nipate changamoto coz na...
BREACH OF PROMISE TO MARRY – KUVUNJA AHADI YA KUOA AU KUOLEWA
Haitakua haki kama kutakua na mfumo au namna inayolazimisha watu kuoana kama watu hao hawataweza kuishi pamoja kwa furaha. Suala la...
Asikwambie mtu ma EX kuachana aitokuja kutokea ata kila mtu awe ameowa au kuolewa na aijalishi waligombana kiasi gani mfano mzuri ebu soma apo chini.
EX. ASHA MAMBO
ASHA. POA NANI WEWE
EX. ME...
Asaalamu,
Sio kila jambo linahitaji data zilizochunguzwa, mambo mengine ukitumia utashi wa kibinaadamu unaelewa tu. Moja ya tatizo kubwa ni hili la Ongezeko kubwa la single moms.
Kadri miaka...
Wazeeh habari za asubuhi...!
Its another day we thanks god for a beutiful day. Niende direct kwenye mada.
Nikama one week sas nachart na mtoto wa kirwanda aliye hitimu kidato cha nne na ukweli...
Habari ndugu zangu, mimi ni kijana wa umri wa 25+. Niko hapa kuomba ushauri juu ya tabia yangu hii ambayo sasa naona imekua kero kwangu na kwa wanao nizunguka.
Turudi nyuma kidogo, katika utoto...
Umuofia kwenu wakuu.!
Nianze kwa kujipigia mstari [kudeclare interest], mimi baba mzazi na mlezi wa watoto watatu, nawalea mwenyewe kwa asilimia kama zote.
Basi ikawa usingizi umepaa nikajipa...
Miaka kadhaa nyuma, nilikutana na binti pale Euro H survey sijui panaitwaje siku hizi.
Nikamuelewe binti, nikaomba namba akakataa.
Siku mbili baadaye nikiwa nakula chakula cha usiku binti akaja...