affinitytz
JF-Expert Member
- Feb 10, 2020
- 282
- 1,153
Miaka ya mwanzoni mwa 2000, nikiwa ndio naingia mwaka wa nne kumalizia shahada yangu ya kwanza. Nikiwa na mahusiano na binti ambaye alikuwa amechukua kozi ya miaka mitatu.
Baada ya binti kumaliza alipata kazi hata kabla ya graduation ceremony. Siku ya graduation nikawa nimehudhuria pale viwanja vya UDSM (Wakati huo Mlimani City haikuwepo) pale tulikuwa tunaita njia panda Makongo au Sheli ya Bounjor (bonjuu). Bila shaka mliokua Dar wakati huo mnanielewa.
Binti baada ya sherehe nyumbani kwao akaomba aje kwangu nilipokuwa nimepanga. Baada ya kupeana raha za dunia, asubuhi binti akaniambia amepata mchumba, ni jamaa mwenye uchumi mzuri ukilinganisha na mimi mwanafunzi na jamaa anataka ndoa.
Kabla sijajibu chochote binti akaniambia kama ni mzigo atakuwa ananipa na hela pia atakuwa ananipa lakini yeye ana malengo yake maishani na anahisi huyu jamaa ni daraja la yeye kufikia malengo.
Sikupoteza muda kuwaza, nikamwambia sawa. Maana nilikuwa nina mwaka mwingine wa kumalizia elimu yangu. Na nilishaona hapa nikitaka kuleta ubishi huku sina kitu mfukoni ni kujidhalilisha.
Binti akawa huru kuanza uchumba rasmi na jamaa japo bado alikuwa anakuja gheto kila anapopata nafasi. Hatimaye aliolewa nami nikatambulishwa kama kaka.
Kuanzia hapa maisha yalikuwa rahisi sana, mara kadhaa binti alikuwa akiniletea mzigo na hela juu. Binti alifikia malengo yake, nami pia kupitia connection za shemeji nikapatiwa ajira baada ya kumaliza chuo.
Wanawake waone hivyo walivyo, wana maajabu yao.