Hivi ndivyo inavyokua

Hivi ndivyo inavyokua

commm

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2019
Posts
1,710
Reaction score
1,965
Asikwambie mtu ma EX kuachana aitokuja kutokea ata kila mtu awe ameowa au kuolewa na aijalishi waligombana kiasi gani mfano mzuri ebu soma apo chini.

EX. ASHA MAMBO

ASHA. POA NANI WEWE

EX. ME SHABANI

ASHA. OOH KUMBE WEWE NIAMBIE, AF UMEPATA WAPI NAMBA YANGU

EX. USIJALI ASHA NTAKWAMBIA, SEMA NIMEKUMISI SANA ASHA IVI UNAISHI WAPI SIKU IZI

ASHA. WEWE UYO WA KUNIMISI MIMI SIULISEMA UNITAKI TENA WEWE

EX. TUACHE AYO ASHA ZILE ZILIKUA AKILI ZA KITOTO SASA IVI NIMEKUA

ASHA. AYA BHANA, ME NAISHI MBEZI NIMEOLEWA

EX. DAH HONGERA SANA ASHA, FANYA BASI SIKU TUONANE MAANA NIMEKUMISI SANA MPENZI

ASHA. MMH APANA SIWEZI MUME WANGU MKALI SANA AF NAMPENDA SANA NA UKOME KUNIITA MPENZI WAKO

EX. PLEASE ASHA MARA MOJA TU

ASHA. OK SAWA NIPE MDA NIFIKILIE AF NITAKUPA JIBU

EX. NGOJA NGOJA UUMIZA MATUMBO ASHA

ASHA. BASI SAWA NIMEKUELEWA ILA TUKIONANA SITOKAA SANA NA TUSIFANYE KITU CHOCHOTE KILE SAWA

EX. WALA USIJALI AUTOKAA SANA NA SITOKUGUSA KABISA MAANA WEWE USHAKUA MKE WA MTU

ASHA. OK SAWA TUFANYE BASI JUMAMOSI MAANA MUME WANGU NDO ANAKUWAGA AYUPO HOM, NA TUTAONANA WAPI SASA?

EX. GESTI YA MENGENI MIDA YA SAA 6 MCHANA

ASHA. WEEE ME SIWEZI KUJA GESTI SIUNAJUA ME MKE WA MTU TAFUTA SEHEMU NYINGINE

EX. OK SAWA BASI NJOO NYUMBANI KWANGU

ASHA. APO SAWA NITAKUJA

BAADA YA ASHA KWENDA NYUMBANI KWA EX WAKE KESHO YAKE SASA

EX. ASHA MAMBO

ASHA. POA TU, SEMA ULICHOFANYA JANA SIJAPENDA KABISA YANI KUNIVUA CHUPI NA KUFANYA LILE TENDO NA KAMA SITOPATA MIMBA SIJUI

EX. USIJALI ASHA SIUNAJUA TENA TULIKUA TUNAKUMBUSHIANA ENZI ZETU ILA USIJALI AITOJILUDIA TENA MPENZI

ASHA. SAWA BWANA ILA JANA NIMEINJOY SANA PENZI LAKO, YANI VITU KAMA VILE MUME WANGU AJAWAI KUNIPA KABISA

EX. FANYA MPANGO BASI ASHA TUONANE TENA

ASHA. USIJALI NGOJA MUME WANGU ASAFIRI UTANIFANYA UNAVYOTAKA MPENZI, ILA KUA TU MAKINI USINIPE MIMBA.

EX. USIJALI MPENZI MIE TENA NITACHEZA KAMA RONALDO

Ivi ndivyo inavyokua ngumu kwa ma EX kuachana ata awe kaowa au kuolewa.
 
Drs la 7 mmemaliza English course?

Haitawahi kuja tokea nimkumbuke X

Sema tu kulingana na Maelezo wanaume ndo hawawaachiliagi ma X

Maana sio kwa kukomalia huko.
 
Inategemea kuna wanawake wana misimamo sana aisee labda ukute wale wanawake wenye minyege mshindo
 
Drs la 7 mmemaliza English course?

Haitawahi kuja tokea nimkumbuke X

Sema tu kulingana na Maelezo wanaume ndo hawawaachiliagi ma X

Maana sio kwa kukomalia huko.
Itakuwa hawajawah kukukaza vizuri
 
Drs la 7 mmemaliza English course?

Haitawahi kuja tokea nimkumbuke X

Sema tu kulingana na Maelezo wanaume ndo hawawaachiliagi ma X

Maana sio kwa kukomalia huko.
Mimi leo nimerudiana na ex wangu baada ya kupotezeana miaka miwili
 
Tunatofautiana sana...me nishawahi kuwa na mtu akanambia tukiachana utanikumbuka sana si unaona wenzako? Eti kisa niwatu walinizidi kipato...na wanamsumbua kutaka rudiana...me nilimwambia mimi sio hao wajinga wenzio...yani tukiachana hutokaa unione sababu hujawah kutana na mimi hata bahati mbaya kukutana kwetu ni hadi tupange kukutana akawa haamin tukazinguana....hakuamin kama inaeza pita miezi sijamtafuta wala hatuonani

Tunatofautiana viburi kifupi


Siwezi mtafuta ex wangu yoyote hata niwe single
 
Back
Top Bottom