Hello, mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 27 niko Dodoma, nahitaji mchumba/girlfriend mwenye age 18 - 25 ambaye yupo serious na ana real love coz nitampenda na kumpa nafasi anayostahili...
Nilitumwa na mteja wangu mmoja kumtafutia mume huku nikaweka masharti tu ya kueleweka
Matokeo yake nimeingia fedheha kubwa kumbe mwanamme niliempeleka ana mke na watoto 3 hawajaachana tena...
Habarini za Jumapili wakuu? Moja kwa moja bango linajieleza hapo juu.
Nina mchepuko wangu fulani hivi ambapo hadi kufikia sasa tuna muda kidogo katika mahusiano yetu. Off coz niseme tu nampenda...
Wanaume wenzangu.
Siri ya mafanikio ya kuitunza ndoa yako ni ule UANAUME uliopo ndani yako. Wanawake huwa wanapenda mwanaume ambaye ni MWANAUME kweli kweli ndani mpaka nje.
Kuna wakati anaweza...
Namshukuru Mungu leo,mimi na mke wangu tunatimiza miaka kimi na sita.(16) ya NDOA.Iliyofungwa Mjini Arusha,kanisa la Mjini Kati(Lutheran) na sherehe kufanyika ukumbi wa BOT.Mungu ametujalia watoto...
Huu ugonjwa unaenea sana kwa wanawake dar wanawake wanavuta sana sigara yaani unakuta pisi kali inavuta sigara hata mzuka wa kuitongoza unakataa.. nenda clubs huwez amin
Kuna siku niliopoa pisi...
Habari za Jumapili wana JamiiForums km kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu mimi hakuna kitu naogopa kama kumgharamia mwanamke vitu ghali
Kuna mwaka mmoja niliwah kutana na msichana mmoja...
Habari zenu,
Nina bwana wangu ambaye mjomba wake amemuoa shangazi yangu. Tumekuwa na mahusiano kwa muda sasa.
Nataka nifunge nae ndoa, je tutakuwa na sisi ni ndugu? Au kuna uwezekano wa...
Moja kwa moja niende katika mada
Maisha ni safari ndefu sana na wengne hupenda kusema maisha ni mzunguuko, kila mtu husema lake kulingana na sababu zake.
Katika mizunguuko yangu kipindi hicho...
Mwanzo alikuwa anapenda na kulifurahia tendo, ila baada ya kupata ujauzito hali ilibadilika hataki kabisa tufanye.
Sasa amejifungua na mtoto ana miezi 7 hali ni ile ile, nifanyeje?
Nimeona kipeperushi cha kongamano la wanaume wa Arusha.
Kongamano hilo lililenga kukutanisha wanaume ili wakazungumzie matatizo wanayokabiliana nayo na kuhimizana kutokaa na jambo moyoni...
Salaam wadau
Huwa nawaza sana ila leo ntaaandika hapa.
Mimi nina mpenzi mwenye umbo la kawaida ,si mwembamba wala si mnene. Ila tukiwa tunacheck moive home , tukakuta washiriki wa kike wana...
Nakupongeza dada yangu kipenzi ingawa sikujui vizuri.Ila kupitia harakati zako,nikuonavyo katika mitandao,ninaona u mwanamke mwenye busara nyingi.Natamani wengine wawe kama wewe.
Ila...
Kwanza kabisa naombeni mnikaribishe mimi kijana wenu kwenye jukwaa hili.
Mimi ni mgeni kabisa hapa JF
Naomba niwashirikishe mkasa wangu huu ili mnishauri jinsi gani ya kuninusuru.
Nina mpenzi...
Ungefanyaje? We upo home unaish na wazazi na dada yako sasa dem wako anakwambia bwana nataka nije kwenu alaf ukichek home msala kwa wazaz sasa unampanga dada ako kwamba awadanganye wazaz kama...
Upendo huvumilia, upendo hufadhili, upendo hauoni wivu, hauna majivuno, hauna kiburi. Haukosi kuwa na adabu, hautafuti mambo yake, haukasiriki upesi, hauweki kumbukumbu ya mabaya.
Upendo...
Habarini wadau.
Nina ndugu yangu wakike yaan ni mtoto wa shagazi yangu upande wa mama, amemaliza Diploma siku chache hapa sasa amekuja kwetu kutusalimu kipindi hichi cha sikukuu
Sasa kadri sku...
Wadau,
Niko zangu Arusha kikazi yapata wiki sasa nimekutana dada mmoja ni mfanyakazi kampuni x ambayo nimefikia yaani kanizoea kwa muda mfupi tu.
Sasa jana aliniomba namba yangu ya simu wala...
Wakuu, kwemaaa! Mnaweza kushtuka kidogo kutokana na headline ! Ila ukweli mtupu uko hivi.
Mtaani nilikopanga sijawahi kuchukua mwanamke yeyote, lakini nina marafiki wengi sana wa kike huwa...