Swali la Weekend

May 22, 2017
65
298
Ungefanyaje? We upo home unaish na wazazi na dada yako sasa dem wako anakwambia bwana nataka nije kwenu alaf ukichek home msala kwa wazaz sasa unampanga dada ako kwamba awadanganye wazaz kama atakuja rafik yake (dem wako) atakaa home kwenu kama wiki 1.

Kwel dem anakuja alafu nyt anakuja kulala chumban kwako bila wazaz kujua mpaka wiki inaisha anaondoka hom wakijua rafik wa dada ako sasa baada ya siku mbili dadaako nae anakwambia ana bwana ake anataka kuja nawe ujifanye rafiki yako alaf usiku kama kawa anaingia geto kwa sista!

Ungekubali?
 
Hapo unataka tukushauri nn sasa?
 
Acheni kuhukumu hakuna ambaye sio mfanyaji humu ila njia za ufanyaji ndio tumetofautiana punguzeni ujuaji
 
''anakuja kulala chumban kwako bila wazaz kujua mpaka wiki inaisha anaondoka hom wakijua rafik wa dada ako"

Hii haiwezi tokea namjua mama yangu,Haiwezi kabisa tokea hata kama ni mfano
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom