Hanitafuti, simtafuti lakini huduma zote ananipatia

mwarabu wa dubai

JF-Expert Member
Nov 29, 2015
320
500
Habarini za Jumapili wakuu? Moja kwa moja bango linajieleza hapo juu.

Nina mchepuko wangu fulani hivi ambapo hadi kufikia sasa tuna muda kidogo katika mahusiano yetu. Off coz niseme tu nampenda lakini sijawekeza kitu chochote cha thamani kwake.

Issue iko hivi simtafuti kwenye simu na yeye pia hanitafuti, cha ajabu nikiamua kumtafuta muda wowote nampata hata saa nane za usiku nikipiga tu simu anapokea, nikitaka kuchakata ile kitu muda wowote ninaotaka mimi huwa hana pingamizi, nikitaka kulala kwake muda wowote ule kwa masaa yoyote yale huwa hana kizuizi chochote kile. Ananipikia pale ninapohitaji lakini vilevile ananifulia pale ninapohitaji.

Ameshanifumania mara kibao na mademu wengine.

Swali je ni mwamimifu katika mahusiano?

Je hachepuki sehemu nyingine?

Je ananipenda sana?

Naombeni ushauri wenu wakuu.
 
Lihove2

JF-Expert Member
Mar 23, 2018
1,853
2,000
Habarini za jpili wakuu?Moja kwa moja bango linajieleza hapo juu.

Nina mchepuko wangu fulani hivi ambapo hadi kufikia sasa tuna muda kidogo katika mahusiano yetu.Off coz niseme tu nampenda lakini sijawekeza kitu chochote cha dhamani kwake.

Issue iko hivi simtafuti kwenye simu na yeye pia hanitafuti,cha ajabu nikiamua kumtafuta muda wowote nampata hata saa nane za usiku nikipiga tu simu anapokea,nikitaka kuchakata ile kitu muda wowote ninaotaka mimi huwa hana pingamizi,nikitaka kulala kwake muda wowote ule kwa masaa yyt yale huwa hana kizuizi chochote kile.Ananipikia pale ninapohitaji lakini vilevile ananifulia pale ninapohitaji.

Ameshanifumania mara kibao na mademu wengine.

Swali je ni mwamimifu katika mahusiano?

Je hachepuki sehemu nyingine?

Je ananipenda sana?

Naombeni ushauri wenu wakuu.
Huyo dada ameshajua kwamba anaishi na mgonjwa wa akili ndiyo maana anakwenda na wewe hivyo hivyo ulivyo labda akili zitakurudi mwezi ukiandama
 
hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
42,740
2,000
Huyo dada ameshajua kwamba anaishi na mgonjwa wa akili ndiyo maana anakwenda na wewe hivyo hivyo ulivyo labda akili zitakurudi mwezi ukiandama

Huyo dada ana strategy Kama zangu .. usipo nitafuta nami sijishughulishi kukutafuta .. ukinitafuta hata Kama ulikaa mwezi mzima na respond fresh tu Kama hakuna kilichotokea ..then life goes on
 
Surya

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
6,232
2,000
Tupe sababu kwanza kwanini huyo anaekupa kila kitu, unaona hafai kuwa official kipenzi na kumpa cheo cha mchepuko.
Na huku huna hata mke.
 
LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
3,465
2,000
Mkuu nyota ya ukimwi inakuita vaa condom tu

Then huyo mwanmke inawezekana anakupenda ila usishangae siku akabadilika hata ukimtafuta hataki mawasiliano na wewe bado hajapata sehemu iliyotulia ngoja atulizwe

Cha pili vyepesi vina garama HIV,HIV HIV
 
Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
34,718
2,000
Hapo wote wawili mnatumiana tu kwa mahitaji ya kingono hakuna future hapo

But trust me hayo ndio mahusiano ya kiutu uzima Mahusiano ya namna hiyo Safi sana
Haya ndio mahusiano ambayo naweza ita ya ukweli maana hamna muda wa kusumbuana na drama kabisa. Just being real to each other.

Ukimuhitaji mwenzio unamuita au unamfuata mnachakatana maisha yanaendelea. Infact mnapendana.
 
kombaME

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
2,059
2,000
Habarini za jpili wakuu? bango linajieleza hapo juu.

Nina mchepuko wangu fulani hivi mchanganyiko wa kisukuma na kinyamwezi ambapo hadi kufikia sasa tuna muda kidogo katika mahusiano yetu.Off coz niseme tu nampenda lakini sijawekeza kitu chochote cha dhamani kwake na sitokaa nifanye hivyo kamwe.

Issue iko hivi simtafuti kwenye simu na yeye pia hanitafuti, cha ajabu nikiamua kumtafuta muda wowote nampata hata saa nane za usiku nikipiga tu simu anapokea,nikitaka kuchakata ile kitu muda wowote ninaotaka mimi huwa hana pingamizi,nikitaka kulala kwake muda wowote ule kwa masaa yyt yale huwa hana kizuizi chochote kile.Ananipikia pale ninapohitaji lakini vilevile ananifulia pale ninapohitaji.

Ameshanifumania mara kibao na mademu wengine.Yaani kwa kifupi mimi ni wale wanaume ambao ni wasumbufu sana kuna muda huwa naamua kumuacha ila nikiamua kumrudia tena huwa hana pingamizi lolote kwangu,au ndio ule usemi kwamba wanawake huwa wanapenda wanaume majeuli.

Swali je ni mwamimifu katika mahusiano?

Je hachepuki sehemu nyingine?

Je ananipenda sana?

Naombeni ushauri wenu wakuu.
Anajua mapungufu aliyonayo, so hapo ni win win situation, unahisi kama unamkomoa au hasemi kitu kwako kumbe mwenzio kashajikatia tamaa zamani, kapime HIV kwanza then tuletee mrejesho tukushauri cha kufanya
 
Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
22,495
2,000
Habarini za jpili wakuu? bango linajieleza hapo juu.

Nina mchepuko wangu fulani hivi mchanganyiko wa kisukuma na kinyamwezi ambapo hadi kufikia sasa tuna muda kidogo katika mahusiano yetu.Off coz niseme tu nampenda lakini sijawekeza kitu chochote cha dhamani kwake na sitokaa nifanye hivyo kamwe.

Issue iko hivi simtafuti kwenye simu na yeye pia hanitafuti, cha ajabu nikiamua kumtafuta muda wowote nampata hata saa nane za usiku nikipiga tu simu anapokea,nikitaka kuchakata ile kitu muda wowote ninaotaka mimi huwa hana pingamizi,nikitaka kulala kwake muda wowote ule kwa masaa yyt yale huwa hana kizuizi chochote kile.Ananipikia pale ninapohitaji lakini vilevile ananifulia pale ninapohitaji.

Ameshanifumania mara kibao na mademu wengine.Yaani kwa kifupi mimi ni wale wanaume ambao ni wasumbufu sana kuna muda huwa naamua kumuacha ila nikiamua kumrudia tena huwa hana pingamizi lolote kwangu,au ndio ule usemi kwamba wanawake huwa wanapenda wanaume majeuli.

Swali je ni mwamimifu katika mahusiano?

Je hachepuki sehemu nyingine?

Je ananipenda sana?

Naombeni ushauri wenu wakuu.
Hapa ishu kubwa ni kwamba unajishtukia.. Unaona unayafanya yote yanayosababisha wapenzi kuachana, lakini yeye yumo tu, hakuachi wala habishi kitu... HUYO, HACHEPUKI WALA HANA MPANGO WA KANDO, NI KWAMBA AMEAMUA KUKUTESA KISAIKOLOJIA, AMEAMUA KUKUAPA ADHABU YA KISAIKILOJIA, NA AMEFANIKIWA...
 
hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
42,740
2,000
Haya ndio mahusiano ambayo naweza ita ya ukweli maana hamna muda wa kusumbuana na drama kabisa. Just being real to each other.

Ukimuhitaji mwenzio unamuita au unamfuata mnachakatana maisha yanaendelea. Infact mnapendana.
Yaani me napendaga Sana hii system. Yaani raha Sana no stress Wala Nini 😁
 
King Sae

JF-Expert Member
Mar 22, 2018
1,579
2,000
...huyo ni jini, kweli nakwambia mkuu huyo ni jini...kweli kabsa

Wee saa 8 usiku...any time
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom