Tuache masihara usiombe mwanamke akutongoze utajuta kuzaliwa, wanajua kutiririka hao

Eddy Love

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
13,654
8,553
Wadau,

Niko zangu Arusha kikazi yapata wiki sasa nimekutana dada mmoja ni mfanyakazi kampuni x ambayo nimefikia yaani kanizoea kwa muda mfupi tu.

Sasa jana aliniomba namba yangu ya simu wala sikutaka hiyana nikampatia bila shida nikajua tu kwakuwa ni mfanyakazi mwenzangu atanipa ramani za huku maana mie mgeni wa jiji la Arusha.

Sasa shughuli ikaanza mida usiku kila muda meseji mara 'uko wapi baby naomba tuonane ni muhimu. Nikaguna kuona hiyo text ikabidi nimpigie, akanambia tukutane mahala aisee kilichonikuta ni hatare.

Mtoto akaanza kunifungukia vibaya mno nikabaki naduwaa tu kweli kuna wanawake kiboko aisee mpaka dakika hii sijamjibu.
 
Wadau Niko Zangu Arusha Kikazi Yapata Wiki Sasa Nimekutana Dada Mmoja Ni Mfanyakazi Kampuni X Ambayo Nimefikia Yaani Kanizoea Kwa Muda Mfupi Tu,sasa Jana Aliniomba Namba Yangu Ya Simu Wala Sikutaka Hiyana Nikampatia Bila Shida Nikajua Tu Kwakuwa Ni Mfanyakazi Mwenzangu Atanipa Ramani Za Huku Maana Mie Mgeni Wa Jiji La Arusha Sasa Shughuri Ikaanza Mida Usiku Kila Muda Meseji Mara 'Uko Wapi Baby Naomba Tuonane Ni Muhimu] Nikaguna Kuona Hiyo Text Ikabidi Nimpigie,akanambia Tukutane Mahala Aisee Kilichonikuta Ni Hatare Mtoto Akaanza Kunifungukia Vibaya Mno Nikabaki Naduwaa Tu Kweli Kuna Wanawake Kiboko Aisee Mpaka Dakika Hii Sijamjibu
Wanakopi na kupesti, mwanamke anazijua tungo nyingi kwani alishafuatwa na wanaume kibao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom