Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Huu ugonjwa unaenea sana kwa wanawake dar wanawake wanavuta sana sigara yaani unakuta pisi kali inavuta sigara hata mzuka wa kuitongoza unakataa.. nenda clubs huwez amin
Kuna siku niliopoa pisi kali sana nikaipandisha kwa gari tumetembea mbele kdg akaomba ashuke kumbe hapo ndo chimbo la kuuza na kuvuta bange manake kulikuwa na kakibanda kadogo alitumia kama dk10 hatokei, ile kutokea nikamwuliza ulikua wapi akaanambia nilikua navuta bange akanambia hapa tutakulana usiku kucha, nilivyokuwa na allegy na haya madude nikamtimua shenzi zake. Yani ananiletea mambo ya kiwaki dadeki.