Pete ya ndoa kuvikwa mkono wa kushoto,na kidole cha shahada au cha pete.

mukandarasi

JF-Expert Member
Sep 3, 2012
932
275
Namshukuru Mungu leo,mimi na mke wangu tunatimiza miaka kimi na sita.(16) ya NDOA.Iliyofungwa Mjini Arusha,kanisa la Mjini Kati(Lutheran) na sherehe kufanyika ukumbi wa BOT.Mungu ametujalia watoto wawili Kelvin na Caroline.Kwa kipindi chote hicho sija wahi kujiuliza kwanini tulivishwa Pete mkono wa kushoto na kidole cha shahada ,swali hili limenijia nikiwa sina jibu!Naomba mtu mwenye kujua historia na sababu za kufanya hivyo anijuze.
 
Waswahili hawakuwa na ustaarabu wa kuvishana pete. Tumeyaiga toka kwa wazungu. Hivyo jibu la swali hili laweza kutoka kwa hao tulioiga mambo yao na kuyafanya yetu. Ninachojua waafrika hawakuvishana pete kutokana na kuaminiana na kuheshimu mipaka tofauti na wazungu. Wazungu waliweka pete kama alama ya kitambulisho kwa wengine kuwa mwenye nayo ameishaoa au kuolewa hivyo asichukuliwe na mwingine ingawa siku hizi anaweza kuchukua au kuchukuliwa. Pia pete ilitumika kama uthibitisho wa mkataba baina ya watu wawili kuwa watahudumiana kingono na kila kitu bila kuingiliwa wala kuzuiliwa na mtu yeyote ingawa siku hizi wanaweza kuwahudumia wengine. Kwa leo baba yenu naishia hapa.
 
Swali ni kwa nini inavaliwa kidole kile na si kingine?
 
Namshukuru Mungu leo,mimi na mke wangu tunatimiza miaka kimi na sita.(16) ya NDOA.Iliyofungwa Mjini Arusha,kanisa la Mjini Kati(Lutheran) na sherehe kufanyika ukumbi wa BOT.Mungu ametujalia watoto wawili Kelvin na Caroline.Kwa kipindi chote hicho sija wahi kujiuliza kwanini tulivishwa Pete mkono wa kushoto na kidole cha shahada ,swali hili limenijia nikiwa sina jibu!Naomba mtu mwenye kujua historia na sababu za kufanya hivyo anijuze.

Hongera kwa 16yrs of marriage,May God kee on blessing you all!Even me sijui why left,may be kwa sababu wa kulia unafanya kazi sana kuliko wa kushoto.
 
Firstly, legend has it that there is a vein connected directly to the heart (the vena amoris) that flows there directly from the forth finger (a story refuted by sad and lonely science boffins), hence its selection as the finger of choice.
 
mukandarasi. FP .Father of All

Why Does the Wedding Ring Go on the 4th Finger?

Why the fourth finger?

The placement of the wedding ring on the fourth finger is a tradition that goes back hundreds of years. In Western cultures, the ring is typically placed on the fourth finger of the left hand, but in some cultures, it is traditionally worn on the ring finger of the right hand. The tradition is based on cultural beliefs as well as religious practices.

Why Does the Wedding Ring Go on the 4th Finger?

The Facts

In the modern world, wearing the wedding ring on the fourth finger is a cultural norm. Although some cultures favor the left hand and some favor the right hand, the fourth finger is almost always the chosen finger for the wedding ring.

History

Ancient Romans believed the vein in the fourth or "ring" finger of the left hand led directly to the heart. They called this vein the "vena amoris," meaning the "vein of love." It is generally accepted that this began the practice of placing the wedding finger on the fourth finger of the left hand.

To put this into historical perspective, the Roman Empire began as early as 750 B.C. and collapsed around 476 A.D. In addition, historical Christian wedding ceremonies included a ring exchange where the groom recited, starting at the thumb, "In the name of the Father," then the first finger, "and the Son," then the second finger, "and the Holy Ghost," and finally, placing the ring on the fourth finger, "Amen.

Significance

The wedding ring's placement is significant because it is a symbol of marriage. A ring on any other finger does not have the power to evoke the knowledge that a particular person is married. The idea of the "vena amoris" signifies that the marriage is founded on love. The Christian wedding tradition of the blessing of the ring on the fourth finger is religiously significant.

Geography

The wedding ring is commonly placed on the fourth finger of the left hand in most Western traditions, except in some countries, including Austria and Poland, where it is worn on the right hand. In India, the wedding ring is placed on the more auspicious right hand.

Function

Wearing the wedding ring on the fourth finger is a cultural norm that allows others to know that the person is married. It is respected as a symbol of people's love and commitment to their spouses and the marriage vows that were made.
 
Back
Top Bottom