Haya Wadada, Wanawake na akina Mama wa Kitanzania mnajifunza nini kutoka kwa hii Kauli ya Mwanasiasa ' machachari ' Julius Malema wa Afrika Kusini?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,571
108,922
Namnukuu..." Cheating on your Wife doesn't mean that you don't love her but it is like hiring a Taxi while you have your own Car at home. It saves tyres and reduce mileage ".

Kwa tafsiri iliyo Kuntu kabisa amesema kwamba..." Kumsaliti Mkeo au Mpenzi wako siyo kwamba labda humpendi bali ni sawa sawa tu Mtu anaamua Kukodi Gari ( hasa UBA ) wakati Nyumbani kwake ana Gari zuri tu. Inaokoa Matairi na kupunguza Umbali ".

Kazi ipo na Shikamoo sana Kiongozi wa Chama cha Upinzani cha EEF cha nchini Afrika Kusini.

Nawasilisha.
 
Wamepotea Mkuu kwani Malema amepiga mule mule!
Lakini ni Ukweli maana ata Mheshimiwa Konki Konki Konki Master kwenye wimbo wake wa MPENZI nadhani kama sijakosea alishawai kusema kuwa "Mwanamke n sawa na gari likizoidisha/likitumika sana linazidi kongoroka" hivo kwenda nje ni sawa na kutunza kifaa chako kisiharibike mapema
 
Kwakweli hii kauli tunakubaliana nayo maana hata sisi tunaitumia sana. Tunawapenda sana waume zetu.
 
Na siku wife akisema amechoka kula muhogo wako sasa anataka kuonja ndizi ya jirani. Hapo ndio utajua kuchukuwa taxi au kibajaji

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Ni kweli haimanishi kama hakupendi ila asikuoneshe mwanaume anae kusaliti wakat unaona huyo hana mapenz ya dhati
 
ANAWATAKA WANAWAKE WACHUKULIE POA TU, JE WANAUME MTAWEZA KUCHUKULIA POA IKIWA UTAJUA KUWA HOUSE BOY ANAMFIRIMBA MKEO?
 
Namnukuu..." Cheating on your Wife doesn't mean that you don't love her but it is like hiring a Taxi while you have your own Car at home. It saves tyres and reduce mileage ".

Kwa tafsiri iliyo Kuntu kabisa amesema kwamba..." Kumsaliti Mkeo au Mpenzi wako siyo kwamba labda humpendi bali ni sawa sawa tu Mtu anaamua Kukodi Gari ( hasa UBA ) wakati Nyumbani kwake ana Gari zuri tu. Inaokoa Matairi na kupunguza Umbali ".

Kazi ipo na Shikamoo sana Kiongozi wa Chama cha Upinzani cha EEF cha nchini Afrika Kusini.

Nawasilisha.
Cheating on your husband.....ni sawa na kusuka nywele mabutu......,
 
Back
Top Bottom