PAND PIERI
Senior Member
- Jul 30, 2020
- 183
- 270
Habari za weekend wana familia,poleni na majukum ya kila siku.Aise nilipata nafasi kadogo nikaamua niende zanzibar (Unguja) nikaone na mimi lilivyo ,nilikuwa naisoma tu na kusherekea Muungano bila kufika huko.
Vijana wadogo wenye umri wa 20s kuwa kwenye mahusino na mabibi /wamama (Wazungu) wenye umri zaidi ya miaka 45 na kuendelea ni Jambo la kawaida.
Vijana kubadili Kabila kuwa wamasai wakati kiuhalisia sio wamasai ili wavutie Wazungu ni kawaida.
Kusuka Rasta wakati unajua huendani na utamaduni wa kirasta ni kawaida.
Utofauti wa maneno ya kiswahi ,(Wa bara wanavyoita badhi ya vitu ni tofauti na huku zanzibar)
Ukienda beach mashoga kujiachia ni kawaida tu wakiwa wanasubiri Wazungu.
Gharama ya chakula /upatikanaji ni ngumu kwa baadhi ya maeneo
Mabeach boy kusubiri /kujipendekeza kwa Wazungu ili wawaongoze na wakati mwingine wanapigana na hata kutishana kurogana ni kawaida.
Watoto wa kizanzibar(mabinti) waliopo shamba hawaonekani kiurahisi.
Nimetembea karibia beach kubwa kubwa Unguja na shamba ndani ndani Kama Nungwi,pongwe,Matembwe, kendwa,Paje,kizimkozi,Mkokotoni,Michamvi.