Wazazi acheni matusi mbele ya watoto

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
25,557
45,872
Niko saluni hapa nimemleta dogo kufanya manicure na pedicure

Kuna dogo hapa same age with my kid almost 3 years Yuko mkorofi balaa, wakati tunajiuliza huyo mtoto vipi kaja baba yake kumchukua anaongea na mtu kwenye simu matusi hataree
 
Wazazi wengine wanatukana hadi unajiuliza maswali hupati majibu aseee
 
Matusi viunganishi, asiposikia matusi kwako atasikia kwa mwalimu, au mitaani
 
Unafikiri huyo baba atakuwemo humu Jf? Au na sisi tuna matusi?
 
Back
Top Bottom